Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,631
- 6,494
Ex: Eliza mambo
Eliza: poa tu nani!!
Ex: aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa.
Eliza: hayo hayakuhusu sema we nani.
Ex: mi Fredy Mcharo
Eliza: jamn mzima wewe za siku!!
Ex: nzur tu nimekumiss.
Eliza: we si uliniacha bwana...
Ex: hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.
Eliza: ndio hivyo ningefanyaje sasa
Ex: bado unaishi kwenye moyo wangu.
Eliza: mmh asante
Ex: Niko tanga kwenu.
Eliza: mmh kweli umefikia wapi?
Ex: lodge tu nimekuja kwenye seminar mara moja ..lodge flan huku chuda
Eliza: haya bhna karibu kwetu.
Ex: mmh namuogopa mumeo
Eliza: hofu yako tu
Ex: njoo hata unisalimie jamani. nimekumiss sana.
Eliza: mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.
Ex: Niamini bado nakupenda naomba uje.
v-mmh kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
Ex: poa saa ngap.
Eliza: Anaenda kazini asubh ko mi ntatoka saa nne.
Ex: poa ntakuambia chumba nilichopo.
Eliza: wee siingii lodge mimi..mi mke wa mtu usijisahaulishe
Ex: please sitakufanya chochote ..siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.
Eliza: wee ndio munasemaga hivyo hivyo
Ex: please siwez niamini
Eliza: sawa lakini sitakaa sana....story tu sitaki mambo mengine.
Ex: poa usijar mamy.
Eliza: sawa .
Hivi ndivyo ma ex wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.
Ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke matuared!!!......
Fuatiliaa hii.........
BAADA YA KUONANA HIYO KESHO
Eliza: ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex..sijapenda kiukweli
Ex: Nisamehe wangu..nilishindwa si unajua tuliko toka..asante nimeenjoy sana
Eliza: sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje
Ex: Hawez jua atajuaje sasa!!
Eliza: jua hivyo tu....usitume text amekuja...
Ex: poa usiku mwema.
BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA
Eliza: nambie
Ex: poa kaondoka
Eliza: ndio ila akija ntakuambia.
Ex: poa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.
Eliza: ntaangalia asipokuwepo.
Ex: mmh so akiwepo
Eliza: mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu ntakuja ila sitakaa
Ex: sawa.. nakupenda sana
Eliza: nakupenda pia ila usirudie kuniumiza.
Ex: sitaweza dear!!!
Hivyo ndivyo mwnaamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!
kumbukumbu zikirusdishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue!!