Kikao hiki kimefanyika jana huko meru kwa moja ya makada wa chadema.
Elishilia kaaya ameamua kuweka ukada wa chama pembeni na kuamua kusapoti ukweli na inasemekana anamuunga mkono mgombea wa chadema na ameahidi kumsaidia.
Hata hivyo wafuatiliaji (askari wa chama) wa CCM wanafuatilia nyendo za elishilia kaaya na ndio waliovujisha habari ya kikao hicho kilichofanyika jana saa tano usiku mpaka saa saba usiku. wafuatiliaji hao kwa hamaki walimjulisha kiongozi wa ccm wa kata hiyo na kisha mchezo mzima ukaharibika.