Elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.

kama shahada ni kila kitu ccm ingekuwa inatisha kwa hoja na kila kitu maana walivyojazana madocta si mchezo, tena ntathubutu kuwaita dr. uchwara maana jina kubwa huku wakiwa tupu akilini ama wakiwa na fikra fupi
 
Pia siyo wote waendao shule wanaelimika bali wapo wanaotoka kama walivyoenda
 


Tatizo nyinyi dot com generation mnaongea mambo bila kuchuja. Hivi unajua historia ya mbunge wa Temeke Mh. Kihiyo?
 
Sioni connection ya elimu ya Mnyika na ulichokiandika labda tuanze na elimu yako kwanza .....maana nashindwa hata nianze wapi umechanganya maada hata hakuna logic........edit kwanza tukupe elimu ya Mnyika

Nilidhan me nina kichwa Kibovu.
 

Kama zemarcopolo elimu yake ni ya kuungaunga, akigombea ubunge anawajibika kusema ukweli kuwa elimu yake ni ya kuungaunga. Akiwadanganya wananchi kuwa ana degree ambayo hana inakuwa siyo sahihi na hawezi kujiainisha kuwa ni muumini wa utawala bora wakati ametumia uongo kupata uongozi.
 
wewe ndiye mpuzi kabisa.

nini maana ya kuweka cv za wabunge kwenye website zao kama hawaweki ukweli wote.

ubunge wa mnyika hautegemei elimu yake. ila ni lazima awe mkweli hata akiwa na elimu ya darasa la saba sawa maana elimu sio inayofanya kazi. shujaa wangu mrema hakuwa na elimu bado kafanya kazi nzuri kuliko akina chenge

mnyika asifiche elimu yake.

 
Last edited by a moderator:

Ni wapi na Lini Mnyika ameshawahi kuzungumzia Elimu yake? Wapi na lini Mnyika ameshawahi Kusema ana Degree? Nimesema Mnyika akijiyokeza na kujibu huu U.puuzi na yeye atakuwa M.puuzi kama Ninyi
 

Kaka umetisha,that is more than enough,keep it up,je waliomba kujua ya mnyika embu watuwekee ya LEKULE LAIZER,wazee wa SISIEM
 
wewe ndiye mpuzi kabisa.



mnyika asifiche elimu yake.

Wewe ni Mpuuzi kama Wa.puuzi wengine

Mnyika Mtoto wa Juzi tu unasema anaficha elimu yake? Kwani Mnyika amesomea Mbinguni mpaka watu wawe hawaijui elimu yake hadi apande Jukwaani. Mnyika akipanda Jukwaani kujibu huu Upuuzi atakuwa M.puuzi kuliko wewe. Mnyika

1. Kamaliza Darasa la saba mwaka 1994. Na Unajua Matokeo yake
2. Kamaliza Form Four mwaka 1998. Na Unajua Matokeo yake
3. Mnyika Kamaliza Form Six mwaka 2001. Na Unajua Matokea yake
4. Mnyika kamaliza BBA Mlimani (Hakuwa anasomea Mbinguni) Na Unajua Matokeo.

Kuuliza Maswali ambayo majibu yake unayajua ni U.puuzi
 
Ni wapi na Lini Mnyika ameshawahi kuzungumzia Elimu yake? Wapi na lini Mnyika ameshawahi Kusema ana Degree? Nimesema Mnyika akijiyokeza na kujibu huu U.puuzi na yeye atakuwa M.puuzi kama Ninyi

Naona umeshaanza kuelewa...
 
Upuuuzi. Upuuuzi. Upuuzi. Kuliko kuendelea kuchangia huu Upuuzi ni bora niende zangu Machinjioni Nikachinje kandama kangu nikaingize Sokoni. Butcher langu limenadikwa haleluya Butcher. Karibuni wote
 
kwahiyo alipata division one point 3 tambaza a level! my foot!

watu wapuuzi mnatetea hata upuzi. mwambieni mnyika arudishe cv yake kule website ya bunge. anaficha nini.

kuwa kiongozi bora sio lazima uwe na elimu kubwa. ila hata ukiwa na elimu darasa la saba sema hivyo.

 

Funy enough inawezekana kabisa wewe ndio wale wadada wa Degree za Chu.pi ha ha ha weka CV yako
 
kwahiyo alipata division one point 3 tambaza a level! my foot!

Hakuna mahala Mnyika amewahi kusema alipta division one point tatu Tambaza. Yaani mna mlisha Maneno halafu mnataka ayathibitishe. Ndio Upuuzi wenyewe huu
 
kuna mambo mawili ambayo toka nimfahamu mnyika nimegundua anaficha ficha. ni elimu yake baada ya olevel na lingine ni uhusiano wake ni kilimanjaro. kamu airbrush mzazi wake mmoja ili kuficha ukweli kwamba na yeye ana uhusiano wa kifamilia na mkoa wa kilimanjaro.
 
Hakuna mahala Mnyika amewahi kusema alipta division one point tatu Tambaza. Yaani mna mlisha Maneno halafu mnataka ayathibitishe. Ndio Upuuzi wenyewe huu

sio lazima aseme yeye lakini kukaa kimya wakati anaona kuna watu wanapotosha ukweli ni kosa.

mimi sina degree na maisha hayanigongi. mtu akisema jenifa alipata upper second udsm, nitakuwa wa kwanza kusema weye mwongo

mnyika anawatuma vibaraka wake muje kudanganya eti ana a tatu form six kumbe hata dada (d)hana. ana bba kumbe hata big brother africa hana.

hao maua wanajulikana kufundusha mitihani. wanafunzi wake ukiwaleta shule za kawaida hawana kitu wanaisha na dada na eva na wengine wanampata fatuma kama mwanaasha wa jk.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…