Elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.
hahaha
 

Angalau uko detailed mkuu.
 

Hiyo ndo siasa.
 

Kwani hujui siri ya ufaulu wa hizo seminari? Wanatafuniwa kila kitu na kupewa wameze. Hata vyuoni wanachemsha sana kwa kuwa huko hakuna kutafuniwa.
 

Kama hakuwa miongoni mwa waliochaguliwa, ilikuwaje akapata nafasi Tambaza? Hii inamaanisha kuwa hata Tambaza aliingia KIMAGUMASHI. Makubwa haya jamani?
 
Mbona nasikia lukuvi ni mwalimu wa upe mbona hamlizungumzii hili
 
 
Ama kweli ukiishiwa sera utatapatapa sana,uongozi siyo elimu bali ni talanta bhana,dogo ana akili naturaly na talent pia
 
Ama kweli ukiishiwa sera utatapatapa sana,uongozi siyo elimu bali ni talanta bhana,dogo ana akili naturaly na talent pia

hapa watu wanahoji uadilifu na uaminifu. Pamoja na talanta lazima pia kiongozi awe muadilifu. Aseme ukweli
 
Kwani hujui siri ya ufaulu wa hizo seminari? Wanatafuniwa kila kitu na kupewa wameze. Hata vyuoni wanachemsha sana kwa kuwa huko hakuna kutafuniwa.

wewe! ukitaka kusema hivyo, angalia uliposimama uko na nani? Unawafahamu waliopitia Maua? Uliza uambiwe! Ni vichwa hadi leo, Form 4 ya kwanza pale ilikuwa 1973 na wengi bado kustaafu na ni vichwa kikwelikweli! Au unataka majina....
Siri ni moja tu pale, nidhamu! na ndani ya nidhamu ORA ET LABORA, yaani kazi na sala na sio sala na bunduki(uninja)!
 
Amani iwe kwenu.

Nimeamua nimtolee uvivu kijana wangu John Mnyika (Mb) wa Kibamba arudi chuo kuchukua shahada ambayo alidosco UDSM mwaka 2004.Alishawahi kutoa vijisababu vingi ikiwemo kutingwa na shughuli,uonevu wa wahadhiri nk.

Nampa wito arudi shuleni kwa sasa kuna fursa nyingi ikiwemo Chuo kikuu huria ambapo ataweza kusoma huku akifanya shughuli zake.

Lucas Malema (35) ni mwenyekiti wa EFF huko Afrika Kusini kabla ya hapo alikuwa mwenyekiti wa ANC youth league ambapo aliondoka na kuanzisha chama cha upinzani lakini aliendelea kusoma na kumaliza masomo yake ya BA PS kutoka University of SA,ikumbukwe Malema ana kesi lukuki,ni Commander in Chief wa EFF ,Mbunge na baba wa familia hivyo Mnyika wacha visingizio wewe hata ofisini kwa sasa umetengwa kiaina.

Mnyika hutumia hadi kurasa tano kuelezea jinsi alivyoshindwa kuhitimu sababu kubwa ikiwa ni kushindwa kufanya mitihani na "course work"..ni chuo gani duniani wanaweza kuvumilia mpuuzi asiyefanya mitihani halafu wampe "Associate degree"...Ikumbukwe tu wakati Mnyika anadisco hakuwa na wadhifa wowote wa juu chadema na hakuwa Mbunge.

Nakushauri Mnyika urudi shuleni ili kuepuka sababu tunazomkinga nazo Mbowe kwa sasa kama KUB mara "tajiri","amekitoa chama mbali" nk.

Nategemea watetezi wa sera ya "elimu,elimu,elimu" ndio watakuwa wa kwanza kusema "elimu si muhimu".....!


Nawasilisha.
 
Haya amekusikia, ngoja waje watueleze na watuambie pia lini wakuu wapya wa wilaya watatangazwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…