Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
527
Kwanza kabisa naomba nitahadhalishe kuwa mimi sio expert wa hii kitu ila nahakika walau mtapata mawili au matatu lakini pia naamini wataalam zaidi watakuja kufafanua na pengine kujibu maswali.

Ni ukweli usiopingika kuwa watu wengi wana uelewa wa hii nguvu lakini pia nahakika kuwa kwa namna moja ama nyingine elimu ni bahari.

Kwangu nimefunga

1. Panel ya 160w (made in ujerumani).

2. Dry battery ya 500N (made in Ujerumani)

3. Inverter ya Victron/Phoenix) 12v, 350va (made in Philipine) ambayo ni auto na haina kelele

4. Dash board 15A/ solar power controller aina ya Steca/Solarix PRS 1515 ya (made in zhing zong)

Na vifaa tajwa hapo juu vinategemeana na matumizi yako ila mimi nina run

TAA

1Watt 5pcs...vyumbani na chooni
2Watt 6pcs...sebureni, corridor na store
3Watt 9pc...nje

Hizi zinauzwa pale Quality Centre moja 5000/ na zina mwanga wa kutosha kama nilivyoeleza hazitumii umeme mwingi tofauti na zamani kipindi nanunua niliuziwa taa zenye watt 10 mpaka 20 ziko kama tube light hizi za sasa ni bulb ambazo kimsingi ilikuwa hata TV kuangalia ni anasa maana taa tu hazikeshi usiku kucha.

(Nilizibadilisha kwa kununua kwanza chache ili nitest mwanga nikakuta zipo poa kabisa) so ikanilazimu nibadilishe zote.
Zinasambazwa na Step Entertaiment hawa jamaa wa Bongo movie.

Na kwa hakika hapa kwenye taa ndo wengi wetu tunaumia maana taa zinakuwa ni A kizamani wakati tech ime advance sana.

Nina Flat Tv 32"
Nina Laptop

Ambapo nimekuja kugundua laptop inakula umeme mwingi sana kuliko flat tv maana unaweza kuangalia tv siku nzima na ukawa safi tu kuliko tofauti na ukitumia laptop. Hapa siongelei TV zile za zamani zenye shape kama kisogo maana ninayo lakini nilishindwa kuitumia kwenye solar.

FAIDA

Haitatokea hata siku moja vifaa vyako kuungua
Pia gharama yake ni mwanzo tu wakati unanunua vifaa.

HASARA

Umeme wake hautoshi mahitaji yote mf pasi, jiko, fridge japo siku hiz zipo water pump, pasi, fridge na freezer za solar ila sijajua utendaji kazi wake.

Cha zaidi nashauri Panel yako iwe upande ambao jua ndo linaonekana kwa asilimia kubwa japo panel zingine zinahitaji mwanga tu then unatosha kuchaji betri yako.

Na fundi aifunge panel sambamba na bati ili kuisaidia uchafu ama vumbi kuwa linatoka lenyewe na hii itasaidia ufanisi wake pia, kuliko kuifunga horizontal maana itasababisha uchafu na vumbi vigande juu yake.

ANGALIZO

Vitu muhimu vya kuangalia wakati wa manunuzi ni Panel, Betri na Inveter ila kama utahitaji kuwa una chaji simu au radio au tv na kama ni taa tu hauhitaji inverter.

Wataalam munaweza kuongezea hapo.

Pamoja
alfred.kohi@kcd.co.tz

Gharama hutegemeana na matumizi ila kwangu ni kama ifutavyo.

*Panel ya 160watt ...500,000/-
*Sealed battery 500N ..500,000/-
*Phoenix Auto Inveter 12V/350VA..400,000/-
*15A Controller 250,000/-
*Base ya panel 30,000 hili ni chuma (angleline ambalo halishiki kutu) linakatwa then linaungwa kwa umeme japo wengine huunga mbao.

Wiring inategemeana na ukubwa na matumizi yako,

Mf kwangu nimeweka system mbili tofaut na zinajitegemea Tanesco na Solar, maana yake ni kwamba nimefanya a complete wiring system zinazojitegemea na pia nilijiwekea standards kuwa sitaki extension cables ndani na nje ya nyumba so utakuta ukuta mzima umejaa socket za umeme maana kila kitu kinachukulia ukutani and mind u kuna socket za TANESCOna za solar.

Bei ya bulb 5,000/- kwa watts yoyote (1,2 au 3) kila moja so itatemeana na idadi.

Huu ni mwaka wa tatu sasa na sijajuta na pia nataka niongeze tena walau panel moja na betri yake kwa ajiri ya fridge tu

Kwa mahesabu hayo nimewekeza zaidi ya 3m ila pia si lazima uanze kwa level hiyo hapana, unaweza kuanza kidogo kidogo hasa kwenye wiring lakin panel na battery lazima upate vitu geniune

How to choose the right equipment for my needs.

For simplicity, let's assume you have a 100 watt device that you want to power with free solar energy for 10 hours each night.

To figure out what size solar panel, batteries, charge controller and inverter you need, follow the simple steps below.

1. Calculate how much energy is needed. 100 Watts x 10 hours = 1,000 Watt hours. That is the total energy you will need.

2. Now calculate what size solar panel you will need. Based on a ten hour day of light, the calculation is simple:
----1,000 Watt hours / 10 hours sunlight = 100 Watt solar panel.

----The reality is that most summer days give about 15 hours of sunlight and winter you get about 4-5 hours of sunlight. Always choose the worst case scenario for-

----your solar panel. In this case, go with a winter day of 5 hours sunlight.-

----1,000 Watt hours / 5 hours sunlight = 200 Watt solar panel.

----(Based on average United States daily sunlight hours.)

3. Calculate what size batteries you need. 1,000 Watt hours divided by 12 Volts = 83 Amp Hours of reserve battery power.
----1,000 / 12 = 83.3

----An average marine deep cycle battery will work well here. Select a larger size battery to be sure, say 100 Amp hours capacity.

4. To figure what size solar charge controller is needed, take your solar panel wattage, which is 100 watts divided by 12 Volts.
----100 / 12 = 8.3 Amps.

----Always go larger, in this case use a 10 Amp solar charge controller.

5. Calculate what size inverter is needed. That's the easy part. You need to power a 100 Watt load, so select an inverter that has
----at least 100 Watts continuous power rating
 
huku nikiunga betri zaid ya 1 inveter inaungua hapa inakuwaje

Battery ni ya sealead(isiyojazwa maji) au flooded(inayojazwa maji)? Inverter ni ya kampuni gan? Kwenye kila input ya waya za inverter zilizo nyingi huandkiwa 12VDC na huandikwa range ya 10.5-14 au 10.5-15 kwa inverter za umeme wa battery wa volt 12. Angali inverter yako maximum input ya DC voltage ni ngapi? Na km una AVO mita pima kiwango cha voltage unayopata ukiunganisha izo battery 2 halafu angalie na kiwango cha voltage kinachotakiwa na Inverter yako.
 
Mkuu vitu muhimu ni:
1. Solar panel

2. Charge controller

3. Battery.

Ila km una vifaa vinavyotumia umeme mkondo geu(Alternating Current AC) ni muhimu kuwa na inverter ili kubadili kiwango cha voltage kutoka umeme mkondo mnyoofu(Direct Current DC) au umeme wa battery kuwa km umeme wa Tanesco.
 
Solar Panel ikifungwa ni sharti ielekee upande wa kaskazini. Hii ni kutokana na hali ya kijiografia tulivyo. Tanzania tupo chini ya mstari wa ikweta kwaiyo jua hukaa kwa mda mrefu kaskazini kuliko kusini. Na kwasabab hatuko mbali sana na mstari wa ikweta ht uelekeo wa pembe(angle) ya kufuata uelekeo wa jua kwa huo upande wa kaskazini ni lazima iyo pembe(angle) iwe kati ya 7° hadi 15°. Ila kuna wanaosema pia iwe kati ya 10° mpk 15°. Wote wako sahihi.
 
Hivi nini umuhimu wa charge controller?
Mi naona kama mbwembwe tu sababu Nina kamfumo ka 50watts bila hiyo.Ni inverter, battery na panel tu.
 
Charge controller umuhimu wake ni kuratibu hali ya umeme unaotoka kwenye solar panel usizidi kiwango kinachotakiwa kujaza betri, pia kuratibu umeme unaotoka kwenye betri usitumike chini ya kiwango kilichpkusudiwa(kila betri ina viwango vyake vya kuingiza umeme na kuijaza pamoja na kiwango cha mwisho kutumika) viwango ivyo hufafanuliwa na mtengeneza betri ktk kila aina ya kampuni ya betri.

Madhara ya kutokuwa na charger controller ni betri kuchajiwa sana na kutumika sana kitendo kinachosababisha kudhoofisha uhai wa betri yako.
 
nimpenda elimu hii maana nami ni mdau wa solar tangu 2005.kwa sasa mfumo wangu ni watts150.kwa kweli nainjoi sana na umeme jua
 
Hebu weka na gharama za item moja moja, especially zile core items

Gharama hutegemeana na matumizi ila kwangu ni kama ifutavyo.
.Panel ya 160watt ...500,000/-
.Sealed battery 500N ..500,000/-
.Phoenix Auto Inveter 12V/350VA..400,000/-
.15A Controller 250,000/-
.Base ya panel 30,000 hili ni chuma (angleline ambalo halishiki kutu) linakatwa then linaungwa kwa umeme japo wengine huunga mbao.

Wireing inategemeana na ukubwa na matumizi yako, mf kwangu nimeweka system mbili tofaut na zinajitegemea Tanesco na Solar, maana yake ni kwamba nimefanya a complete wiring system zinazojitegemea na pia nilijiwekea standards kuwa sitaki extension cables ndani na nje ya nyumba so utakuta ukuta mzima umejaa socket za umeme maana kila kitu kinachukulia ukutani and mind u kuna socket za tanesco na za solar.

Bei ya bulb 5000/- kwa watts yoyote (1,2 au 3) kila moja so itatemeana na idadi

Huu ni mwaka wa tatu sasa na sijajuta na pia nataka niongeze tena walau panel moja na betri yake kwa ajiri ya fridge tu

Kwa mahesabu hayo nimewekeza zaidi ya 3m ila pia si lazima uanze kwa level hiyo hapana, unaweza kuanza kidogo kidogo hasa kwenye wiring lakin panel na battery lazima upate vitu geniune
 
Okay mkuu nimekupata...

Naona si gharama kubwa sana kwa kuwa ni suala la kuingia mfukoni mara moja kinachobaki ni maintanance costs tu...

Gharama hutegemeana na matumizi ila kwangu ni kama ifutavyo.
.Panel ya 160watt ...500,000/-
.Sealed battery 500N ..500,000/-
.Phoenix Auto Inveter 12V/350VA..400,000/-
.15A Controller 250,000/-
.Base ya panel 30,000 hili ni chuma (angleline ambalo halishiki kutu) linakatwa then linaungwa kwa umeme japo wengine huunga mbao.

Wireing inategemeana na ukubwa na matumizi yako, mf kwangu nimeweka system mbili tofaut na zinajitegemea Tanesco na Solar, maana yake ni kwamba nimefanya a complete wiring system zinazojitegemea na pia nilijiwekea standards kuwa sitaki extension cables ndani na nje ya nyumba so utakuta ukuta mzima umejaa socket za umeme maana kila kitu kinachukulia ukutani and mind u kuna socket za tanesco na za solar.

Bei ya bulb 5000/- kwa watts yoyote (1,2 au 3) kila moja so itatemeana na idadi

Huu ni mwaka wa tatu sasa na sijajuta na pia nataka niongeze tena walau panel moja na betri yake kwa ajiri ya fridge tu

Kwa mahesabu hayo nimewekeza zaidi ya 3m ila pia si lazima uanze kwa level hiyo hapana, unaweza kuanza kidogo kidogo hasa kwenye wiring lakin panel na battery lazima upate vitu geniune
 
Charge controller umuhimu wake ni kuratibu hali ya umeme unaotoka kwenye solar panel usizidi kiwango kinachotakiwa kujaza betri, pia kuratibu umeme unaotoka kwenye betri usitumike chini ya kiwango kilichpkusudiwa(kila betri ina viwango vyake vya kuingiza umeme na kuijaza pamoja na kiwango cha mwisho kutumika) viwango ivyo hufafanuliwa na mtengeneza betri ktk kila aina ya kampuni ya betri.

Madhara ya kutokuwa na charger controller ni betri kuchajiwa sana na kutumika sana kitendo kinachosababisha kudhoofisha uhai wa betri yako.

Pia Controller inafanya kazi sawa na gauge kukuonyesha betri yako inachaji au la lakin pia imejaa au imepungua kiasi gani so ina Low, Medium, Average na Full charge na ikiwa kwenye Low lazima taa nyekundu iku alert na ikiwa kwenye Full charge lazima Taa ya orange iwake kunyesha betri yako imejaa na kama ina chaji utaona taa ya au za kijani zinawaka ka kama haichaji kabisa basi hakutakuwa na indicator yoyote.
 
Attachments

  • 1408603131258.jpg
    1408603131258.jpg
    31.5 KB · Views: 1,253
Picha za Battery na cover yake kuepusha watoto kuchezea na kuirinda pia betri na pia picha ya inveter
 
Picha za Battery na cover yake kuepusha watoto kuchezea na kuirinda pia betri na pia picha ya inveter

Wadau picha hizo
 
Attachments

  • 1408604079542.jpg
    1408604079542.jpg
    30.4 KB · Views: 1,272
  • 1408604100483.jpg
    1408604100483.jpg
    43.4 KB · Views: 1,291
  • 1408604113337.jpg
    1408604113337.jpg
    26.2 KB · Views: 1,092
  • 1408604123990.jpg
    1408604123990.jpg
    28.6 KB · Views: 1,092
  • 1408604135313.jpg
    1408604135313.jpg
    21.9 KB · Views: 1,067
Mimi nina Panel ya watt 40, betri ya maji 25N, inverter ya 115-250v na charger control. Kwa matumizi ya saloon ya kunyolea nywele kijijini. Ninawasha taa mbili za watt2, machine moja ya kunyolea, Radio subwoffer na Tv ndogo. Hakuna tatizo lolote nikiwasha taa na radio wakati wowote but nikiwasha Tv after 10minutes umeme unakata! Au nikitumia machine ya kunyolea kwa mfululizo wa masaa mawili tu then inashindwa kufanyakazi although radio na taa zinaendelea kuwaka vizuri. Vitu vyote vinafanyika mchana tu. Nifanye nini ili niweze kuwasha machine wakati wote na ikiwezekana kuwasha tv ndogo.
 
Picha za Battery na cover yake kuepusha watoto kuchezea na kuirinda pia betri na pia picha ya inveter

Mimi nina Panel ya watt 40, betri ya maji 25N, inverter ya 115-250v na charger control. Kwa matumizi ya saloon ya kunyolea nywele kijijini. Ninawasha taa mbili za watt2, machine moja ya kunyolea, Radio subwoffer na Tv ndogo. Hakuna tatizo lolote nikiwasha taa na radio wakati wowote but nikiwasha Tv after 10minutes umeme unakata! Au nikitumia machine ya kunyolea kwa mfululizo wa masaa mawili tu then inashindwa kufanyakazi although radio na taa zinaendelea kuwaka vizuri. Vitu vyote vinafanyika mchana tu. Nifanye nini ili niweze kuwasha machine wakati wote na ikiwezekana kuwasha tv ndogo.

Solar Panel ikifungwa ni sharti ielekee upande wa kaskazini. Hii ni kutokana na hali ya kijiografia tulivyo. Tanzania tupo chini ya mstari wa ikweta kwaiyo jua hukaa kwa mda mrefu kaskazini kuliko kusini. Na kwasabab hatuko mbali sana na mstari wa ikweta ht uelekeo wa pembe(angle) ya kufuata uelekeo wa jua kwa huo upande wa kaskazini ni lazima iyo pembe(angle) iwe kati ya 7° hadi 15°. Ila kuna wanaosema pia iwe kati ya 10° mpk 15°. Wote wako sahihi.

Wadau picha hizo

Naomba kuelimishwa juu ya full usage ya nyumba ya kawaida. Tuchukulie yani nyumba nzima kuanzia friji,tv,pasi,jiko na hata washing mashine na nisiwe na wasiwasi wa kukatikiwa kati ya siku nitahitaji budget ya kiasi gani kwa sollarpanels,inverter,na zile betry kubwa kabisa zenye nguvu.in short nikitaka kufunga mkataba na tanesko na kuhamia solar kwa mahitaji yoote ya nyumbani gharama zinaweza kuwa kiasi gani..naomba kufahamishwa wakuu.
 
By Professional mie ni electronics engineer. Ninaishi dar ninaweza kumsaidia yeyote kuhusu hii system bila malipo yoyote, nitakushauri kabla ya kunua na kufunga..online

Nimefunga Solar System nyumbani 2008 baada ya serekali kubadili mfumo na kuleta LUKU service Charge
Nina 2 Panels 90Watts @ = (180Watts)
Batery 7 sealed za 150Ah@ = 1050Ah

Matumizi
Nina Desktop Computer 1
Nina Laptop 1
Nina Solar Frige kubwa 290Lrs
Nina 500Watts Power invetor
Nina 32 Inch TV flat screen
Nina taa 3watts 11 ndani
nina taa 5watts 7 nje
Nina Brender 400Watts
Nina Music system 2000Watts PMPO ikipiga just kama uko disco
Mafundi wanakujaga na machine zao za kukata chuma na mbao wanatumia bila shida yoyote.

Sijutii kufunga solar system sio kwamba niko sehemu ambayo Tanesco hawajapita hapana nguzo ya umeme iko 1 meter kutoka nyumba yangu ila utumwa sitaki, kila siku bei ya umeme inapanda utasiki watu wanalia na kulalamika. 2008 elfu kumi nilikuwa napata 112 units sasa hivi 10,000 hata 38 units hupati
Mabadiliko ya kweli hutokea kwenye fikra na unayoyaona kwa nje ni matokeo tu...

Watanzania Tubadili jinsi tunavyo fikiria life is good
 
jubilant kwa sasa gharama ya kufunga umeme wa kadiri yako ni shilingi ngapi kwa kununua solar
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom