Jamani Mi nilikuwa napata Chanel zote za muvitv nikafuta baada ya kuwa Chanel nyingi kutokuwa zinaonesha. Niliingiza upya zimegoma kurudi. Naombeni msaada wenu.
Ingiza hizi frequency mdau utapata zinaonekana vizuri tu. 10721 H 30000, 12604 H 30000, 10962 H 3255 na 12728 30000 hapo utapata channels 34