Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Vzr kijana, endelea ku enjoy maana kuna m.jinga m.jinga mmoja anajifanya anajua sana kazi yake kukosoa na hata freq moja hajaweka. Then nihesabie kwa wiki umeona mechi ngapi kwa hiyo channel live

Nimewahi kuona game moja live EPL kupitia WBS Channel .
Nitakupa report nikiona mechi zingine
 
Jamani mie labda sijaelewa somo, mm nina dish na king'amuzi kimoja tu cha AZAM, je haya maelekezo mnayotoa yanaitaji dish la pili ama?

Hapo kwa dekoda yako ya Azam na dish lake unapata bila kuongeza receiver wala dish jingine, ingia menu add satellite then uingize hizo frequency.
mwenyewe nimeona mechi moja kwa kufuata hayo maelekezo.
Kwenye recweiver ya kawaida pia unapata bila wasiwasi mi nimeona sehemu zote mbili.
 
Kwenye king'amuzi changu channel zipo mbilimbili. Nawezaje kuziondoa? Maana orodha ya channel inakuwa ndefu wakari channel hazizidi 60

Ni rahisi tu mkuu, nenda main menu»Digital TV»channel manager
ukifika hapo chagua channel unazotaka kuzitoa au kudelete.
 
Unajua mtu anaelopoka lopoka bila kufanya uchunguzi simpendi kabisa, jirekebishe
 
Locksman thanks a lot mkuu!
 
Locksman thanks a lot mkuu!

Poa mkuu, ila kuna kitu nimekiona.
kwenye receiver nimepata channel saba including ya congo moja ila kwenye dekoda nimepata channel 3 tu , rodriguez zote mbili na ya congo moja.
Hapo unaweza kujua tatizo nini?
Goodmorning!
 
Mkuu samahani, hz technology wengine tunalazimisha! mimi nimefanya km ulivosema, na nime-save ila kila niki-search bado sipati kitu! nisaidie nakosea wp ama nifanyeje?
 
Mkuu samahani, mimi nimefika mpaka ktk kui-save 1190 h 3210, from there what's next kaka? maana najaribu ku-search haingii ktk Tv list! naomba msaada wapi nakosea mkuu?
 
Mkuu samahani, unaposema RECEIVER na DECORDER, hapa unanchanganya! naomba na msaada wa kupata hizo channel 7, how?
 
Mkuu samahani, hz technology wengine tunalazimisha! mimi nimefanya km ulivosema, na nime-save ila kila niki-search bado sipati kitu! nisaidie nakosea wp ama nifanyeje?

weee Hud, nipe msaada hapa bhana, una-like badala ya kutoa some help?
 
Mkuu samahani, mimi nimefika mpaka ktk kui-save 1190 h 3210, from there what's next kaka? maana najaribu ku-search haingii ktk Tv list! naomba msaada wapi nakosea mkuu?

Kwanza hiyo frequency angalia vizuri kama umeandika sawa ina miss digit moja ambayo ni 1 inabidi iwe 11192 Au 11190. Na hakikisha ume add satellite usiingize hizo kwa satellite inayotumika na azam.
ukiadd hiyo satellite unai edit pia kama degree 7° na weka east.
then save halafu scan hiyo satellite yako mpya.
utafurahia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…