Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Hivi tofauti na amos5 at 17, ni sat ipi ingine naweza pata fta(local) za hapa bongo kupitia dish dogo??
 
DTV ndani ya azam tv itaonyesha uefa leagues(champion league and europa cup) au right ya kuonyesha ilikuwa ya startimes.

vizur zaid ungefafanua uefa ck gan za wiki na europa ck zip?au mechi zote?
sisi wengne ndo tnaanza kuiona dtv.
 
Inatakiwa kufanya nini ku reply post ya mtu humu jf bila maneno ya kwenye post yake kujirudia?
 

azam tv dawa yao
 


Jamani wajuvi naomba kujua haya maelezo bado yanafanya jazi kesho asbh nifanye kazi hiii...
 
Azam washasanukia dili arifu. Sattelike nilizoadd zote na chanel zake wamefuta wenyewe juu kwa juu. What else nitafanya nicheki epl?
 
Azam washasanukia dili arifu. Sattelike nilizoadd zote na chanel zake wamefuta wenyewe juu kwa juu. What else nitafanya nicheki epl?

Unatakiwa kuziadd tena zitashika ,walichofanya Azam ni ku upgrade software yao lakini bado inaweza kuingiza satellite nyingine
 
Wengine hatujui hata kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Tv na ving'amuzi. Mimi nipo na Jamiiforum, mahali nilipo Tv ni kama hadithi. Jambo pekee ninalojifunza hapa ni kuwa mambo ya ving'amuzi ni gharama, usumbufu na pasua kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…