Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

Nimejaribu kwenye dish&decoder ya Zuku kuweka hizo freq & symbolrate, nimepata channels sita: Muvi Combo, Muvi Muviz, MTA International(Hindi channel), RTS 1, RTVGE na CRTV(hii haipo stable sana, kuna kipindi picha zake hazipo clear).

Shukrani kwa #Ph-25
 

Ninatumia dish la Zuku na nimejaribu kuunganisha receiver ya MediaCom 930Plus, nimeitafuta hiyo Satellite Ku_PAS 7/10 (68.5E) kisha nikaweka Frq: 12728, SR : 30000 na Pol: H. Nimepata channels nne(MTA International, RTS1, RTVGE &CRTV)
 

mkuu mimi nimefanikiwa kupata zote kwenye azam tv, ila tatizo hizo muvi tv channels zinakataa na sijui kwa nn? Msaada plz
 
12728 H 30000
11192 H 3210
12645 H 30000
Hapo pana channel 13
 

Hapo kwenye red ni Sifa za Kijinga... Azam Tv wenyewe hawawezi kusema wala kujaribu kuongea ulichokisema.... mimi nilitizama pale Magomeni Casablanca Restaurant Channel zina giza hadi nikawaomba waongeze brightness wakasema decoder ya Azam tv ina giza giza..... channel chache ndizo zina uhafadhari. Decoder zenye high quality picture ya kwanza ni DSTV then CTV Zingine zinafuata... Azam wanatumia Decoder za Kichina na china wao ni duplicate hivyo pata picha inakuwaje?

Kama unakumbuka TVT ilipoanza walikuwa wanatumia mitambo ya Sony picha ilikuwa super walipoiingia kwa wachina lol ikawa ni desaster kwao quality mbovu kama dvd fake za movie zinazouzwa barabarani na kariakoo...... usimshindanishe mchina na wataalamu wengine... original na fake havikai pamoja...
 

Kwanza umeangalia restaurant, sidhani hata kama ulikuwa na haki ya ku-comment kitu usichokijua. Decoder ya Azam haina giza, na kuwa ya China sio sababu, sidhani kama hata kama umeshaiona, uliza wanaoimiliki badala ya kuishia kuangalia kwenye migahawa na ku-judge. Decoder ya Azam ni one of the best..!
 

Aisee unaongea pumba.
 
Binafsi nimejaribu Leo, nimefanikiwa, muhimu hizo frequence zipe satellite yake, mfano AA, pale kwenye LNB freq. zipo zinazoshika Kwa 9750-10550 , na 9750-10600, ndio signal zinakuja,

hatimaye nami nimefanikiwa ku add channel kwenye dekoda ya azam cha msingi ni kubadilisha lnb fr na location
 
Wadau nimefanikiwa kuongeza zingine, cha msingi add satellite nyingine, lnb freq. Weka 97500-10600, location east, longitude 7.0, then tranaponder ingiza zifuatazo, 12645 30000H, 10962 3255H, 11192 3210H, 12520 27500H, 12728 30000H. Kuna channel za drc na west africa.
 
hatimaye nami nimefanikiwa ku add channel kwenye dekoda ya azam cha msingi ni kubadilisha lnb fr na location

Hongera mkuu tuendelee kula vitu na wengine jaribuni mambo ni supper hapo azam
 

Kwa hiyo Decoder ya Restaurant na decoder ya nyumbani kwako zinatofautiana? wewe ni zaidi ya Pumba acheni kwenda Madrassa kasomeni shule za Mission akili zenu zikae sawa... nimeandika haya kwa sababu nimeshuhudia.. Miislam bana... ni zaidi ya Janga katika kuelewa kitu...''Ishmael'' mjalana
 

Ficha upumbavu wako hatuanzisha hii mada kwaajili ya mipasho hapa kama hujui mambo ya satellite uliza sio kuongea upuuzi.
Naheshimu sheria za Jf la sivyo ningekupa za uso. Umenikera mpuuzi wewe.
 
Aisee unaongea pumba.

hebu point sehemu pumba niliyoongea....

Kama wewe ni mchangiaji humu hongera.... maana mtu akikusoma ulichopost wewe na nilichopost mimi atakupita kwa kasi... ni sawa na kusema mchezaji yule anacheza vibaya huku wewe hujui hata Dana dana... hebu changia hoja hapo tukuone.... uelevu wako.... na inaelekea umeanza kutumia decoder kwa ulazima wa serikali yako hivyo huna uzoefu wa Decoder wa Satellite Receiver...
 
Ficha upumbavu wako hatuanzisha hii mada kwaajili ya mipasho hapa kama hujui mambo ya satellite uliza sio kuongea upuuzi.
Naheshimu sheria za Jf la sivyo ningekupa za uso. Umenikera mpuuzi wewe.
Mwana Madrassa mwingine...wewe ndio unajua huko Mwanza? wewe ndie wa kuficha huo Upumbavu wako... Satellite Receiver nimekuwa natumia tokea mwaka 1987.. na Decoder ya Dstv nimetumia kuanzia mwaka 1993 analogue decoder hadi kuingia Digital Decoder utanieleza nini wewe -----.... najua picture quality zote na quality mbaya... hata Decoder za G-Tv zilikuwa mbovu...
 

asante mkuu nimepata chanel 4 nyingine muvi tv afrca unite muvi nyimbo na muvi prism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…