Elimu Waliyonayo Dada Zetu Vyuo Vikuu Haina Maana

Chunguza Wadada Wa Vyuo Vikuu Ambao Tunasema Ni Miongoni Mwa Wasomi Ambavyo Suala La Ngono Wanavyolichangamkia Pamoja Na Kupewa Elimu Ili Wajikomboe Kifikra Lakn Patupu, Kwa Nawapa Pole Hata Wanaowaoa Mabiti Hawa Kwa Kuwa ---- Zao Zimechewa Kupita Kiasi. Kazi Kwenu Wasomi Na Elimu Za Kikuda.

uliambiwa nyege ni ujinga kuwa zitaondolewa na kusoma?
 
Pole sana mleta mada japo ina ukweli Fulani ila jf utaambulia matusi tu maana unaowasema ndo wamejaa humu jf. Elimu imefanya mabinti wa kibongo malimbukeni ht wakiolewa ndoa zao ni za migogoro mingi na machungu kwa waume zao. F4 yatosha, chuo kikuu ni kujitafutia presha za mapema
 
Kwani wasomi wamesema wewe ni husband material? huenda na wao wanaona wewe ni wa kuchunwa na kuachwa. Kuoa ni hiari ya mtu na kuolewa hali kadhalika.Dunia ni uwanja wa fujo kila mtu hucheza ngoma yake. Ukitaka wasio soma wapo, drs la 7 wapo chuo wapo ni kama kinywaji ukitaka kimpumu kipo beer ipo wisky halikadhalika ni wewe tu na kujipima kwako.
Lakini wasomi wanaume wasiopenda wasomi wenzao mara nyingi ni waoga hawapendi challenges, wanapenda watu wa kuwaburuza

challenge wapi mkuu ? Tatizo hawa educated mapepe mno
 
tuna mdis mtoa hoja bila sababu yuko sahihi huo ndiyo ukweli kwa kifupi wanafunzi wa vyuo ndiyo wanaongoza kwa mambo ya kidunia hususani starehe iwe boys or girls. nenda club weekend utakuta wanachuo wamejaa kizazi cha sasa kinapenda maisha rahisi dadas hawawezi kuishi maisha ya kujinyima wanapenda kujiachia kila kitu wanapenda cha high quality vibumu vyenyewe ndiyo hivyo mkia wa mbuzi kwa hiyo na wenyewe washageuza fashion kuwa pesa isiyo na budget iko kwa wanaume ndiyo maana wanafanya uzinzi ili waishi maisha mazuri INGAWA KIZAZI CHA WANAUME MALIMBUKENI NA WAHONGAJI NACHO KINAPOTEA
 
Back
Top Bottom