Barua yangu ya wazi kwa wahitimu wa vyuo vikuu mbali mbali Tanzania

lanez

Member
Apr 18, 2019
78
163
UTANGULIZI
Kuanzia wiki ya tar 4 mpaka tar 12,mwezi wa tisa zilikuwa wiki muhimu sana kwa wahitim wote kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu hapa Tanzania, kwani ni wiki ambazo wengi wetu tulihitimisha/tutahitimisha safari tuliyoianza miaka 16 iliyopita. Pengine ni wiki ambazo wengi wetu, tutawapigia simu watu mbali mbali kuwajulisha kwamba safari yetu imefika mwisho, pia ni siku ambayo kila mtu atafurahia kwa namna yake ili mradi tu, kufurahia kuhitimisha safari. Furaha hii inachagizwa na mambo mengi ambayo wahitim mbali mbali wamekuwa wakiyapitia tangu safari ianze, ikiwemo maisha magumu, manyanyaso mbali mbali, kudharauliwa na pengine kutendewa isivyo faa kwa namna yoyote ile n.k. Kwa sababu imekuwa ndoto ya vijana wengi kufikia ngazi hii ya elimu ili kujikomboa kimisha na kifikra basi kusherehekea na kufurahia kuhitimisha safari hii ni jambo lenye heri kwa kila mmoja wetu, tukizingatia kwamba sio kila mtu amefanikiwa kufikia ngazi hii ya elimu na kwa kuwa sio rahisi kuifikia basi lazima tupate nguvu kufurahia jambo hili bila kujali huko mbele itakuwaje maana kuhitimu ni jambo lingine, na kufanikiwa kimaisha ni jambo lingine pia.
Wapo watakao beza furaha yetu,lakini bado hatupaswi kuwa wanyonge kuonesha jinsi tulivyokuwa na furaha juu ya jambo hili.

*MTAZAMO WANGU*
Nalitizama vipi hili jambo ndugu zangu?. Ni ukweli usiopingika kwamba tunamaliza masomo yetu kutoka chuo kikuu kipindi ambacho kinachangamoto kubwa ya swala la ajira, kipindi ambacho tunaweza kusema elimu imeshuka thamani kwa namna fulani, kipindi ambacho ukijitambulisha kwamba wewe ni muhitimu wa wa shahada ya fani fulani pengine kuna watu wanaweza kukubeza, lakini bado haindoi kwamba wewe ni msomi. Lakini ndugu zangu lazima tutambue kwamba kusoma na kuwa msomi na jambo moja, lakini kuelimika ni jambo lingine kabisa , na hapa ndipo hasa wasomi tunapopigwa technical know count (TKO) kama waitavyo kweny mchezo wa ngumi, yani unakuwa huwezi hata kunyanyuka.

*WITO WANGU*
Ndugu zangu licha ya changamoto zote hizo, kuanzia kiuchumi, kimfumo na kiteknolojia bado hatupaswi kuwa wanyonge, kwa sababu tumesoma UNIVERSAL EDUCATION ambayo wanasoma hata walioko Uingereza. Jambo kubwa hapa ni nini tukifanye ili kuweza kuendana na changamoto zote hizi. Pamoja na changamoto zote nitoe wito wangu kwa kila mmoja wetu kutambua kwamba, kumaliza kwetu ni kutokana na uwekezaji uliofanywa na wazazi wetu, serikali yetu, ndugu zetu, marafiki zetu na kila aliyehusika, hivyo basi wote hawa kuwa na matarjio makubwa juu yetu, yaani wanategemea kupata (return on investment ) kitaalamu. Nikili kabisa changamoto ni kubwa lakini tunaweza kutoka hapa tukiamua kwa angalau kutekeleza yafuatayo.

Mosi,Kutafuta namna nyingine ya kujitambulisha kwamba wewe ni msomi, namanisha nini hapa, kubadilisha maarifa ya darsani kwa vitendo kutatosha kabisa kujitambulisha usomi wako.

Pili, Kuendelea kujisomea ili kuongeza maarifa zaidi huku tukijifungamanisha na maisha ya mtaani zaidi kwani ndiko kunako tuhitaji zaidi kukutumikia.

Tatu, kuongeza ubunifu zaidi kwenye kila jambo tutakalojaribu kulifanya, huku tukiendelea kutafua mnyororo mzuri wa thaman na watu waliotutangulia (connections).

Nne,Kuendelea kuheshimu, kujiheshi na kutafuta namna bora ya kuingiliana na watu, ikiwemo uvaaji, uwasilishaji wa mambo mbali mbali, uongeaji na muonekano kwa ujumla.

Tano, kumuomba mungu, kuwa na subra, uaminifu na uvumilivu.

sita, Kujaribu mambo mbali mbali yanayoweza kukusaidia kimaisha, kuishi na jamii inayokuzunguka vizuri, kutunza afya

Saba, kuwa wabunifu zaidi (creativity ), kuongeza ujuzi (skills ), na kuwa tayari kufanya kazi yoyote inayoweza kukupatia kipato ili kumudu maisha

MWISHO

Nimalize kwa kusema miongoni mwetu, ndio watakuwa viongozi wa sasa na kesho, tuna wajibu wa kuijenga kesho ya vizazi vyetu. Kwa maana kuzaliwa kweny familia za kimaskin sio kosa letu, kama wazazi wetu hawakutupa utajiri bado sio kosa lao kwa sababu wametupatia urithi wa maarifa.
*NIWATAKIE MWISHO MWEMA WA MASOMO, MAFANIKIO NA NDOTO KUBWA, NI IMANI YANGU TUTAFANIKIWA* "Nsajigwa G"
Muhitimu wa Shahada ya Masoko na Mahusiano/Mawasiliano ya Umma.
Chuo/College NIT, Dar es salaam.
 
Waache wamalize mitihani usiwachanganye,, mtaani ni mavumbini na mavumbini lazima warejee!!
 
mtaalam nna maswali nataka nkuulize kuusu NIT,may I

MTAZAMO WANGU

WITO WANGU

NIWATAKIE MWISHO MWEMA WA MASOMO, MAFANIKIO NA NDOTO KUBWA, NI IMANI YANGU TUTAFANIKIWA "Nsajigwa G"
Muhitimu wa Shahada ya Masoko na Mahusiano/Mawasiliano ya Umma.
Chuo/College NIT, Dar es salaam.
Maneno kuntu
 
Back
Top Bottom