tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,405
Pole kwa waliokufanya madada wasomi, wenzio ndio tumeoa hao....
Mwambie huyo..anadhani mburula mmoja alomtenda ndo wote
Pole kwa waliokufanya madada wasomi, wenzio ndio tumeoa hao....
Ukioa mtu aliyesoma chuo kikuu ni sawa na kula makombo mana wanatumiwa hadi basi
wasiosoma ndo wazuri et?
Wao hadi wanajiuza baadhi sa utafananisha na wanaume
Chunguza Wadada Wa Vyuo Vikuu Ambao Tunasema Ni Miongoni Mwa Wasomi Ambavyo Suala La Ngono Wanavyolichangamkia Pamoja Na Kupewa Elimu Ili Wajikomboe Kifikra Lakn Patupu, Kwa Nawapa Pole Hata Wanaowaoa Mabiti Hawa Kwa Kuwa ---- Zao Zimechewa Kupita Kiasi. Kazi Kwenu Wasomi Na Elimu Za Kikuda.
sio kutokusoma kabsa, walau amefuta ujinga kichwani. Ili nifanane naye, sio wale wako na ma phd ama ma degree wengi wao wametumia miili yao kufikia walipo
mh! elimu ni maarifa anayopata mtu, ambayo humuwezesha kupambanua mbivu na mbovu,,,sidhani kama kuna syllabus inayofundisha kuwa/kuacha umalaya,,, isipokuwa kuassociate na watu ndo kuna mfanya mtu afanye/asifanye, ki2 flan,awe/asiwe m2 flan,,,,ni dhana 2 iliyojengeka kuwa msomi atakuwa right in each and everything lakini ikumbukwe, kuna elimu ya darasani na elimu ya stadi za maisha.Hivyo elimu ya stadi za maisha ndo inachangia kwa kiasi kikubwa mtu kuwa alivyo,,,,elimu ya darasani inampa mwanga wa kujua wap sahh au si sahihi maamuzi yana baki kuwa kwa muhusika. Umalaya hauhusiani na elimu, ni akili ya mtu inavomwongoza.