Elimu Waliyonayo Dada Zetu Vyuo Vikuu Haina Maana

haina maana kwako. kaoe darasa la nne cz hata uwezo na akil ya kuishi na mdada alomaliza chuo kikuu hauna. wenzio wameoa hao wachuo kikuu na wanaona maana kubwa tu yakuao mdada mwenye elimu. afu unaonekana unawivu roho inakuuma wadada kusoma chuo kikuu sidhan kama ukipata mtoto wakike utamsomesha. afu inawezekana hujawah hata kuwa na mahusiano na mdada wachuo kikuu ila unaleta mawazo ya story za kijiwen



Maelezo Yako Hayakamilika Na Sijajua Ni Kwanini Unatoka Nje Ya Mada, Hakika Unachuki Binafsi Nami.
 
Ukioa mtu aliyesoma chuo kikuu ni sawa na kula makombo mana wanatumiwa hadi basi

Mapenz ni mchezo wa kijiti!!!!! Kama binti anamalza darasa la saba tayar ashatolewa bikra.....unafkr utampata wap ambaye hajawah kuingiliwa?? Matokeo yake ubakaji wa watoto under 10yrs!!!
 
bumija kumbe unamawazo mafupi kama mkia wa mbuzi yan unaongea kitu without a research sema huna sifa za kuwa na mdada wa chuo kikuu

yaani kuwa na mdada wa chuo kikuu ni lazima uwe na sifa? unachekesha hayo mambo ya zamani..kwa sasa hadi waendesha bodaboda..wanachukua wadada wa chuo kikuu
 
Wanajf Tunatakiwa Kujua Ukweli Huo Ambao Unamashiko Ya Kuwa Madada Wa Vyuo Vikuu Anaendesha Ngono Sana Ambayo Ni Doa Kwa Jamii(UKIMWI) Wakisahau Kuwa Wanasoma Na Baadae Kuwa Na Familia Zao, Wadada Zetu Twahitaji Kuwaoa Lakini Huwezi Oa Ngono Au UKIMWI Vinginevyo Mwanaume Ni Taahira.

Umepima? Na huyo unayemchezea saiv ataolewa na nan?
 
Kwani wasomi wamesema wewe ni husband material? huenda na wao wanaona wewe ni wa kuchunwa na kuachwa. Kuoa ni hiari ya mtu na kuolewa hali kadhalika.Dunia ni uwanja wa fujo kila mtu hucheza ngoma yake. Ukitaka wasio soma wapo, drs la 7 wapo chuo wapo ni kama kinywaji ukitaka kimpumu kipo beer ipo wisky halikadhalika ni wewe tu na kujipima kwako.
Lakini wasomi wanaume wasiopenda wasomi wenzao mara nyingi ni waoga hawapendi challenges, wanapenda watu wa kuwaburuza
Hawa ni wa kupiga na kuacha
 
Back
Top Bottom