chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Usitangulize asante zako kabla hujapata ajira.
Kasome hesabu za uwiano......Believe me wakuu ajira zitakuea njenje ili mradi uwe una sifa tu na watoto Wa maskini wengi ndio wanaokamua Shule Ila wale wengine wasome wasisome ajira nilikuwa kupigiana pande tu. Mfano popote ambapo mchaga alikuwa managing director basis campuni hiyo walikuwa wanajazwa wachaga ilimradi jina lako lianzie na mtei, kimei, mushi n.k. ndo mana hata chadema wamejazana wao hata viti maalumu wanapeana tu na ndo mana hata katibu Mkuu wao anapata taabu sana amekuwa overwhelmed. Hata wahaya ni hivyohivyo wanavutana sana ilimradi tu we ni rutashobya, kagya n.k. sasa tutaajiliwa kwa competition na competency.
Jpm hongera