Elimu thamani yake imeonekana. Heko Rais Magufuli

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,598
13,645
Nilipokuwa nikimsikiliza jpm anasema yupo kwa ajiri ya wanyonge nilikuwa simwelewi kabisa sasa naanza kumwelewa. Asante jpm kurudisha hadhi ya wasomi has a wasomi ambao hawakuwa na channel ya kupata ajira. Ajira zote zilukuwa zimebebwa na watoto Wa vigogo ambao wengine hawana vyeti wala qualification husika.
Baada ya kulivalia njuga swala la wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki sasa huku mtaani tunaheshimiwa sana tuliosoma na kupata degree zinazoeleweka.
Soon ajira zitamwagwa na watoto Wa maskini ambao hawakuwa na namna ya kupata ajira sasa watapata. Juzi nilikuwa hapo udsm karibu wanafunzi wote wanafurahi mana angalau mtu akimaliza hahitaji kupata connection ili apate ajira au achezewe kimwili ndo apate ajira ambayo bila kufanya hivyo ajira innge mbypass.
Mtaani walala hoi tunakufuragia na kukuombea kwa mungu
Swala la unga na sukari kupanda bei ni swala mda tu hasa kutoka na demand na supply pekee.

Asante baba umetuokoa sisi ambao tulikuwa hatuna sauti. Ilifikia hatua ukigraduate kama ni binti basis muone rizione ili akuungabishe na lazima akulambe kwanza au umuone mbowe ili akutafune kwanza baadaye akuunganishe au aukupe ubunge Wa viti maalumu na vigogo wengine pia
 
kama kuna graduate hatajiriwa mwaka huu, inabidi arudi kijijin akalala kwenye kaburi la babu yake.
 
Soon ajira zitamwagwa na watoto Wa maskini ambao hawakuwa na namna ya kupata ajira sasa watapata
Kwani katika zoezi la kuwafukuza wenye vyeti fake Watoto wa masikini hawakufukuzwa kwa kuwa ni Watoto wa masikini?.
 
Ilifikia hatua ukigraduate kama ni binti basis muone rizione ili akuungabishe na lazima akulambe kwanza au umuone mbowe ili akutafune kwanza baadaye akuunganishe au aukupe ubunge Wa viti maalumu na vigogo wengine pia

Kutajataja majina bila facts ni ubashite ujue. I believe ulifanya project/dissertation huko uliposoma na I am sure ulifundishwa kwamba bila research/facts, you have no right to utter your nonsense.
 
Ukitaka kumsifia mtu jipange, unaweza kumsifia mtu ukaishia kupigwa vibao kwani unampa asichokuwa nacho. Nimekuzaba vibayo moyoni wewe
 
Nilipokuwa nikimsikiliza jpm anasema yupo kwa ajiri ya wanyonge nilikuwa simwelewi kabisa sasa naanza kumwelewa. Asante jpm kurudisha hadhi ya wasomi has a wasomi ambao hawakuwa na channel ya kupata ajira. Ajira zote zilukuwa zimebebwa na watoto Wa vigogo ambao wengine hawana vyeti wala qualification husika.
Baada ya kulivalia njuga swala la wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki sasa huku mtaani tunaheshimiwa sana tuliosoma na kupata degree zinazoeleweka.
Soon ajira zitamwagwa na watoto Wa maskini ambao hawakuwa na namna ya kupata ajira sasa watapata. Juzi nilikuwa hapo udsm karibu wanafunzi wote wanafurahi mana angalau mtu akimaliza hahitaji kupata connection ili apate ajira au achezewe kimwili ndo apate ajira ambayo bila kufanya hivyo ajira innge mbypass.
Mtaani walala hoi tunakufuragia na kukuombea kwa mungu
Swala la unga na sukari kupanda bei ni swala mda tu hasa kutoka na demand na supply pekee.

Asante baba umetuokoa sisi ambao tulikuwa hatuna sauti. Ilifikia hatua ukigraduate kama ni binti basis muone rizione ili akuungabishe na lazima akulambe kwanza au umuone mbowe ili akutafune kwanza baadaye akuunganishe au aukupe ubunge Wa viti maalumu na vigogo wengine pia
NAONA MMEAMUA SASA KUKUSANYA RAMBIRAMBIRE ili muendeshe serekale ya POMBE
 
Believe me wakuu ajira zitakuea njenje ili mradi uwe una sifa tu na watoto Wa maskini wengi ndio wanaokamua Shule Ila wale wengine wasome wasisome ajira nilikuwa kupigiana pande tu. Mfano popote ambapo mchaga alikuwa managing director basis campuni hiyo walikuwa wanajazwa wachaga ilimradi jina lako lianzie na mtei, kimei, mushi n.k. ndo mana hata chadema wamejazana wao hata viti maalumu wanapeana tu na ndo mana hata katibu Mkuu wao anapata taabu sana amekuwa overwhelmed. Hata wahaya ni hivyohivyo wanavutana sana ilimradi tu we ni rutashobya, kagya n.k. sasa tutaajiliwa kwa competition na competency.
Jpm hongera
 
je nikiwa na sifa za bashitte ntapata ajira?
 
waliotulewa kwa vyeti feki au kutumbuliwa kwa namna yoyote hawazidi 15,000!

wengi wao ni walimu wa primary na manesi. walimu wa degree au dip waliotumbuliwa kwa vyeti Mimi sijamuona hata mmoja. bado kuna ziada ileile.

kada nyingine bila kupepesa macho waliotumbuliwa hawazidi 1000! wahitimu wote mkiziwazia hizo ajira 15,000 mtajiumiza akili bure!!

bora wahitimu wa ualimu kwa ngazi ya cheti waziwaze na manesi pia, lkn si kada nyingine.

ushauri wangu:
1. ambao mnaweza kurudi vyuoni mkasoma ufundi ili mjiajiri nafasi kwenu.

2. tulioko makazini na tunaendelea kuipenda kazi tuongezeni nidhamu na ufanisi. vinginevyo utapitiwa na 'doza'

3. wenye vijana wanaoendelea na masomo, huu ndo muda wa kumpeka mwanao ufundi

hitimisho:

shuguli zote zinafanywa na watu wa elimu zote kuanzia ambao hawajasoma kabisa hadi digree angalau ujue kusoma na kuandika.

hapa ubungo, nyegezi na vituo vingi ya mabasi kuna wakata tiketi wenye vyeti vya shahada.

bungeni wamo LY

wewe na digrii yako ukiambiwa ukweli unaanza kusema tumetumwa na bashite.

Naja
 
Back
Top Bottom