Kinachoongelewa hapa ni elimu/ujuzi/maarifa, nashangaa tayari maihusisha na vyuo vikuu. Ni kweli kuna watu walizaliwa na uwezi mdogo na duni sana kiakili, hawanahitaji kupelekwa kwenye hizi clinics/vyuo ili wakarabatiwe na kuongezewa uwezo huo wa kiakili, hivyo mtazamo wa jumla kuhusu elimu kupatikana chuo.
Kwangu mimi kwa sasa kilicho bora ni kile nikikosacho... I need money