Elimu kuhusu nguvu za kiume

Kasuku Mdogo

Member
Jun 2, 2016
14
23
Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika kitendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili.

Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘uwezoo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inzaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.

Pamoja na hayo yote, elimu muhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku.

Sababu za wanaume kushiwa nguvu za kiume:
Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendoo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni.

Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka sababu ya umri. Tafiti mbalimbali zinasema wanaume wa umri kuanzia miaka 61 na kuendelea ndiyo wanapatwa na tatizo hili zaidi kuliko wanaume wenye umri wa miaka 41 kushuka chini.

Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili. Hii ni kutokana na kwamba wengi wao wanakuwa hawaelewi aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, namna wanavyotakiwa kuishi ili kupunguza janga hilo, wanakunywa pombe na hawajishughulishi na mazoezi ya viungo. Mazoezi ya viungo hupunguza tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kwa asilimia kubwa sana.
 
Tatizo LA nguvu za kiume vijijini ni nadra sana labda huko pwani lakini Kanda ya ziwa, Kanda ya Nyanda za juu na Kanda ya Magharibi huko jamaa wameahiba na unakuta mtu anawanawake 4 kila mwanamke anapewa mimba na kuzaa.
Huko mijini ni shida kwasababu hamtaki kula vyakula vya asili na hamtaki kufanya shughuli za kuupa mwili mazoezi.
 
Mjini mwanaume anakula soseji moja na anasema ahsante kwa chakula..... Yesu na Maria
Hivi soseji moja mtu anashibaje, au yai walaji wa hivi hata sperm zao huwa ni katone tu utadhani kadondosha chozi kumbe sperm
 
Tutake radha tafadhali sperm kama tone!!
 
Ni Kweli Hii Ni Shda Na Ndio chanzo cha michepuko na mafarakano yasio Tija lakin chanzo ni hki unakuta kijana anapiga nyeto mtu wa light food (Eg Flied Food)af anataka atembeze dushe kwa busti ya pmbe yan anajmalza kbisa. . . Wanasahau nature develop nature Whle Chemical Destroy Nature
 
Tatizo LA nguvu za kiume vijijini ni nadra sana labda huko pwani lakini Kanda ya ziwa, Kanda ya Nyanda za juu na Kanda ya Magharibi huko jamaa wameahiba na unakuta mtu anawanawake 4 kila mwanamke anapewa mimba na kuzaa.
Huko mijini ni shida kwasababu hamtaki kula vyakula vya asili na hamtaki kufanya shughuli za kuupa mwili mazoezi.
Wanume wa pwani pweza ni kitweo cha kilasiku sasa unashindana nea nini? Babu wa miaka 80 kuoa kigoli mbona ni kitu cha kawaida, tena akamzalisha watoto kadhaa.
 
Tatizo LA nguvu za kiume vijijini ni nadra sana labda huko pwani lakini Kanda ya ziwa, Kanda ya Nyanda za juu na Kanda ya Magharibi huko jamaa wameahiba na unakuta mtu anawanawake 4 kila mwanamke anapewa mimba na kuzaa.
Huko mijini ni shida kwasababu hamtaki kula vyakula vya asili na hamtaki kufanya shughuli za kuupa mwili mazoezi.

Mkuu, kumpa mtu mimba sio ushahidi kuwa aliyempa hiyo mimba hana upungufu wa kiume, kumbuka kuwa sio lazima mwanamke afikie kilele ili apate mimba, kwa hiyo unaweza kumpa miamba mkeo kila mwaka lakini hajawahi kufika kilele na kufurahia tendo la ndoa. Ndo maana mtoa mada kasema inahitajika elimu, aidha, mtu anaweza kuwa anadhani kuwa ana upungufu wa hizo nguvu, kumbe ni elimu ya tendo hilo hana, kwa hiyo hata maandalizi hafanyi wakati wa tendo la ndoa kitendo ambacho humfanya kumaliza kabla ya mwezi wake.
 
Unapo zungusha feni kwa muda mrefu ndio nguvu zako hizo kukaa kama gogo kitaalam tunasema hauna nguvu za kike
Sasa kama hautoi burudani uzungushiwe ili iweje bebi, mtu ajichoshe na bado umchafue tu hapana asee
 
Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika kitendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili.

Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘uwezoo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inzaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.

Pamoja na hayo yote, elimu muhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku.

Sababu za wanaume kushiwa nguvu za kiume:

Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendoo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni.

Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka sababu ya umri. Tafiti mbalimbali zinasema wanaume wa umri kuanzia miaka 61 na kuendelea ndiyo wanapatwa na tatizo hili zaidi kuliko wanaume wenye umri wa miaka 41 kushuka chini.

Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili. Hii ni kutokana na kwamba wengi wao wanakuwa hawaelewi aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, namna wanavyotakiwa kuishi ili kupunguza janga hilo, wanakunywa pombe na hawajishughulishi na mazoezi ya viungo. Mazoezi ya viungo hupunguza tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kwa asilimia kubwa sana.
Tuambie basi hivyo vyakula vya kuongeza nguvu
 
Back
Top Bottom