Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,894
- 25,911
Kaveli,wa kunishughulikia yupo!
Pole jamani loh
Pole jamani loh
Evelyn Salt hueleweki, mara umsifie baby wako afu huku useme unalia kwa uchungu, maana hata huyo unaemsifia bado hajafikia viwango utakavyo.Nyie ndo mtutake radhi tena mtupigie magoti na funguo za gari mkononi mnatukosesha kitu muhimu sana chini ya hili jua (nalia kwa uchungu)
lisaa limoja nipo juu nikishuka matokeo ni 4 kwa 3
Ahsante kwa kunijibia mpenzi, nimekumiss utoroke kazini urudi home
Tukose mara ngapi yani kwakweli bora hata mtetea anapewa kwa siku hata mara nne mtetea ametuzidi wanawake furaha ya mgegedo, yani mnatuhuzunisha
Kama yupo mbona walia sasaa!!?Kaveli,wa kunishughulikia yupo!
Pole jamani loh