Elimu kisiwe kigezo sana cha kutafuta wachumba maana wengine hatujasoma sana

Tafuta ambao hawajasoma kama wewe, hujasoma msomi unamtakia nini? acha kulalamika vitu ambavyo havina maana
 
Mijanaume amabayo haijasoma shida yenu mna mapenz ya kishamba miwivu isiyo na maana halafu wengi kichwan hamko smart unakuta mtu yupoyupo tu hawaz hata maendeleo sometime sio kwa ubaya kama mimi nina ndoto kubwa we huna ndoto tutaendana vipi sasa mwanaume asiye na elimu ni mzigo aiseee
 
Back
Top Bottom