Elimu kisiwe kigezo sana cha kutafuta wachumba maana wengine hatujasoma sana

Binafsi sija soma nimeishia kidato cha nne mchumba angu ana degree 2 na ni mwalim amenizid umri ila ananipenda mno na amewahi kunifundisha nikiwa form four nami nampenda nahofia ataninyanyasa kulingana na elim
 
Jamani hizi elimu zisiwe kigezo sana cha kutafuta wachumba maana wengine hatujasoma lakini tunaupendo wa dhati mtuangalie na sisi, sasa mkioana wote mliosoma na sisi tutaoa/kuolewa na kina nani na upende usipende ambao hatujasoma sana ndo tunajua kupenda na kujali vibaya mno.
Niko pamoja nawe mpndwa..
Ni afadhali km umesoma utafute ambae umemzidi, au km hujasoma utafutwe na alie soma ili kuwepo na amri kwnye nyumba
 
>>>>>Ukioa mwanamke msomi jiandae kuzungumza mwenyewe Barabarani kama kichaa...
 
hahahaha usiuzunike tena mkuu mambo ya elimu yalikuwa zamani siku hizi pay tuu,ajira zenyewe ziko wapi kipindi hiki wakimaliza wanakuja kusugua benchi tu uraiani mwisho wengine wanatamani waolewe tu hata na std 4 failure sembuse la saba? juzi mtaani jamaa kavuta demu na degree yake yeye la saba,wazazi walikomaa wanataka msomi mwenzie jamaa kamdunga mimba imebidi walegeze tu masharti jamaa kajivutia chombo
 
Kuoa / kuolewa ni makubaliano na mapenzi ya dhati baina ya watu / wapendanao wawili.

Hayo mambo mengine ya elimu, kipato, kazi,
Yanafuata baadae lakini elimu hai matter sana.
Kila jambo lina wakati wake,

Mkuu.....
Vumilia mungu atakupatia ubavu wako.
 
Sura mbovu elimu juu hapo.kikubwa sura ndio inayo onekana na jamii ukfuata elimu utachkesha Nyani ktk jamii demu sura mbvu kama Dume hapo ?
 
Back
Top Bottom