BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,068
- 8,391
OHOOO ngoja nizame huko pm maliasili wasijepata faili hapa wakasema nyaraka za wanyama huna.Niamini mimi mpk nyeti zake nakuletea🤗
OHOOO ngoja nizame huko pm maliasili wasijepata faili hapa wakasema nyaraka za wanyama huna.Niamini mimi mpk nyeti zake nakuletea🤗
Mshana anayo taarifa kamili😁OHOOO ngoja nizame huko pm maliasili wasijepata faili hapa wakasema nyaraka za wanyama huna.
Toa location mkubwa😃
hahaha, Seran noma mada za dini yupo, ukija huku yupo, kila kona yupo vizuri, safi kabisa bibie mchangamfu kama huyuOgopa bibie wa hivo
Wee anajua mpaka habari za faida za samaki wa kanda ya ziwa unamchukuliaje!
Huyo kashasafisha mwili anagusa tu wee humuoni hapa Jf nuru ake inavowaka mkuu
Seran
Ngoja mfungo uishe kuna nyama za masai nilikula hapo wakanikumbusha enzi zaa machungaji kijijini..Always Msata Kilingeni
Mbona kwa uchungu sanaa mkuu 😂😂
Wee unasikia kila weekend anaenda kwa Mshana Jr kula josho unajua maana ya josho mkuu!hahaha, Seran noma mada za dini yupo, ukija huku yupo, kila kona yupo vizuri, safi kabisa bibie mchangamfu kama huyu
daah noma, hata sijui maana ya josho mkuu, natumia kiswaswadu chenye opera, kuna option ya emoj ya thanks tu, ya kucheka na zingne sioni, hivyo nashindwa kuapply, sijaangalia comment za juu je ametoa maana ya josho?Wee unasikia kila weekend anaenda kwa Mshana Jr kula josho unajua maana ya josho mkuu!
Haina haja ya chale bibie akirudi mjini mwepesi kama kuku wa kizungu.
Hahaha hujanikuta kwenye nyuzi za wife material nipo 🤗 na za wauzaji nipo🤣 utachoka🙌🏾hahaha, Seran noma mada za dini yupo, ukija huku yupo, kila kona yupo vizuri, safi kabisa bibie mchangamfu kama huyu