Elimu juu ya siafu

Elimu juu ya siafu

Kuna maelfu ya siafu niliwa angamiza huku kijijini kwetu, walikuwa wanakuja usiku wanavamia mabanda ya kuku, wanang'ata vifaranga na kuku.

Nikamwaga oil na petrol nikawachoma moto.

Kumbe naua pesa aisee!! 😂

Ukosefu wa maarifa ni tatizo sana.
 
Seran kumbe una elimu ya viumbe na husemi bibie
Haya natafuta magamba ya nyangumi napata wapi.
Woiii ndio nimejifunza kwenye uzi wa mshana leo😅 kumbe nyangumi ana magamba😨
Na unayapeleka wapi? Ugunduzi wetu ni kwa waganga tu sio😒
 
Kuna maelfu ya siafu niliwa angamiza huku kijijini kwetu, walikuwa wanakuja usiku wanavamia mabanda ya kuku, wanang'ata vifaranga na kuku.

Nikamwaga oil na petrol nikawachoma moto.

Kumbe naua pesa aisee!! 😂

Ukosefu wa maarifa ni tatizo sana.
Umeharibu mtaji mkuu😱
 
Hawa siafu pia wanasifika kuzuia wadudu hatari kama nyoka.

Wewe kama eneo lako linasumbuliwa na nyoka jitahidi uwapandikize hawa jamaa maeneo karibu na nyumba yako.

Hata awe Black mamba lazima ahame hilo eneo.
 
Hawa siafu pia wanasifika kuzuia wadudu hatari kama nyoka.

Wewe kama eneo lako linasumbuliwa na nyoka jitahidi uwapandikize hawa jamaa maeneo karibu na nyuma yako.

Hata awe Black mamba lazima ahame hilo eneo.
Shida kama una mifugo kama kuku na ng'ombe. Watasumbuliwa sana na hawa jamaa.

Usiku wanakuja kwa maelfu, wanang'ata kuku, ng'ombe, mbuzi.

Sio poa yani kuku analiwa anaisha. Anabaki mifupa.
 
Kuna maelfu ya siafu niliwa angamiza huku kijijini kwetu, walikuwa wanakuja usiku wanavamia mabanda ya kuku, wanang'ata vifaranga na kuku.

Nikamwaga oil na petrol nikawachoma moto.

Kumbe naua pesa aisee!!

Ukosefu wa maarifa ni tatizo sana.
hata kama umepata maarifa,wakivamia mifugo yako utawaacha? Soko la siafu halipo
 
Kuna maelfu ya siafu niliwa angamiza huku kijijini kwetu, walikuwa wanakuja usiku wanavamia mabanda ya kuku, wanang'ata vifaranga na kuku.

Nikamwaga oil na petrol nikawachoma moto.

Kumbe naua pesa aisee!! 😂

Ukosefu wa maarifa ni tatizo sana.
Ukosefu wa maarifa ni tatizo sana😀😀😀
 
Back
Top Bottom