Master Race
Senior Member
- Feb 19, 2026
- 171
- 370
Wenzetu wamewekeza kwenye tafiti halafu wanazifanyia kazi, wenzetu hawatupi kitu yaani rasilimali inatumika Hadi sehemu ya mwisho kabisaa...
yanaitwa mabondo yanapatikana sana kwenye samaki sangaraAnafahamu, watu wa kanda ya ziwa wanayafahamu na hata viwanda vipo mshana kaeleza huko juu vzr tu
mkuu mbona kama umempa bibie kazi ngumuSeran kumbe una elimu ya viumbe na husemi bibie
Haya natafuta magamba ya nyangumi napata wapi.
Hahahaa, basi ongea na mkubwa Mshana Jr enzi zile ana private jet kaizunguka dunia, atakuwa anayajua machimbo
Yanaitwa Mabondo mkuuYa samaki
ushazeeka wewe, hakuna utaelewa hapoAsante sana uncle! Nimeelewa kwa undani zaidi! Muwe mnatuletea mada kama hizi tujifunze mzee☺️
Unawashwa uke eeh?ushazeeka wewe, hakuna utaelewa hapo
Hahhaah sasa nimekulia kijijini naachaje kujua😦 Khaa! nuru ipi hiyo jmn mbona sijaiona mimi🥹Ogopa bibie wa hivo
Wee anajua mpaka habari za faida za samaki wa kanda ya ziwa unamchukuliaje!
Huyo kashasafisha mwili anagusa tu wee humuoni hapa Jf nuru ake inavowaka mkuu
Seran
Hapa namsubiri usiku wa manane akanioshe nikirudi tu asubuhi ntangaza ndoa🤗Kama uko karibu na akol wako mshana mambo yako si haba muosho kila week naona unaogeshwa no nuksi mwilini🤣
Unawashwa uke eeh?
Umeona sasa haya ndo mambo mazuri sasa...Hapa namsubiri usiku wa manane akanioshe nikirudi tu asubuhi ntangaza ndoa🤗
Anapenda kupima uzito na wake wenzie kama anayaweza😅🤣🤣🤣🤣 dah. Unajua Shost yako Hazsu huwa ana vitumajibu vya shombo shombo sana.
Niamini mimi mpk nyeti zake nakuletea🤗Umeona sasa haya ndo mambo mazuri sasa...
Ongea nae vizuri basi nipate mifupa ya nyangumi
I promise kesho nitakuja na mada yake lakini naweza omba usaidizi kwenye AM🤣🤣🤣🤣 dah. Unajua Shost yako Hazsu huwa ana vitumajibu vya shombo shombo sana.
Mshana Jr vipi kuhusu Kumbikumbi /mchwa na senene?.
Wao ni dawa pia?
Siafu wachue tu kwa kweli.
Ila maprotein yanatokana na Senene ni balaa sana.
Wadudu watamu sana wale.