Dajaden112
New Member
- Mar 25, 2021
- 4
- 0
Wadau wa jukwaa la elimu, habarini
Naomba msaada wa Best cover letter maana imefikia hatua naona kama labda approach ya barua zangu za maombi ya kazi au CV ndo zinashida. Natuma maombi 10 ila kuitwa interview ni 1 ya 10. Napata changamoto sana.
Naombeni msaada wenu.