Elimu inakufa, Mfumo wa Ajira unaelekea KUZIMU, Mawaziri WAMESUSA, Tunaelekea wapi wadau ?

Amewafokea huko ndani na wao wamedhira kinamna, kaona isiwe tabu sasa hivi anaamua kuwaambia hadharani kwamba ni wapumbavu.
Wamedhira au ni wamezira......kijana najua hii sio typing error ni umeandika kusudi kabisa kwa kutokuzingatia usahihi wa maneno ya kiswahili

SONY Xperia Z5 Premium
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Naona mawazo hayo yanaelekeana na haya kwenye hii video inasikitisha hali tulionayo kwa sasa tunaelekea Zimbabwe.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mawaziri wenye akili zao walishaamuaga kukaaga kimya Siku nyingi tu kwan hawathaminiwi wala kusikilizwa zaidi wakishauri ushauri wao unakataliwa instantly
Ushaur wa UKWELI ni wa DAB

May Allah bless Me and You
 
Mawaziri wa awamu hii wanafanya kazi kimya kimya kuliko wa awamu zilizopita nadhan matokeo mnayaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeyaona ya Kimara,tunayaona kwenye elimu,tunayaona kwenye UTUMISHI WA UMMA,tumeyaona kwenye afya kwa mujibu wa TWAWEZA
IMG_-hwp47b.jpg

May Allah bless Me and You
 
Mkuu ni mambo yapi hayo, maana sanasana ni kumuona Mwakyembe akimpokea yule mwanariadha aliyepata medali bila jitihada za serekali. Mkuu au kuna mengine zaidi ya hayo?
Ujenzi wa KIMARA

May Allah bless Me and You
 
Mkuu kwang sio dar nimeongea hvo kwa experience ya kukaa hapa na kusumbuliwa na masuala mgao wa umeme na maji kwa miaka mingi lakin suala hilo asaiv halipo na haliji kutokea tena. Pili safi sana ulivonambia waziri wa kilimo humjui mana hawa wa asaiv wameamua kufanya kazi. .juz tu hapo mlikuwa mnalalamika chakula nchini hamna watu wanasafirisha nje ya nchi zingine tumepiga stop nazan matokeo unayaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulima walime wakulima kwa gharama zao sifa umpe waziri wa kilimo asiyewajali hata kwa pembejeo,mbona mbaazi kg1 ni 300/- ameshindwa kuwasaidia ili bei iwe nzuri kwao

May Allah bless Me and You
 
Mkuu kwang sio dar nimeongea hvo kwa experience ya kukaa hapa na kusumbuliwa na masuala mgao wa umeme na maji kwa miaka mingi lakin suala hilo asaiv halipo na haliji kutokea tena. Pili safi sana ulivonambia waziri wa kilimo humjui mana hawa wa asaiv wameamua kufanya kazi. .juz tu hapo mlikuwa mnalalamika chakula nchini hamna watu wanasafirisha nje ya nchi zingine tumepiga stop nazan matokeo unayaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg akili ndogo kama hii haiwezi kujibu hoja hapa JF. Kwanza; jifunze kuandika, pili; jifunze kuandika kimantiki, tatu; nenda shule kuongeza maarifa. Otherwise unaonekana goigoi sana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom