Elimu inakufa, Mfumo wa Ajira unaelekea KUZIMU, Mawaziri WAMESUSA, Tunaelekea wapi wadau ?

Ndg akili ndogo kama hii haiwezi kujibu hoja hapa JF. Kwanza; jifunze kuandika, pili; jifunze kuandika kimantiki, tatu; nenda shule kuongeza maarifa. Otherwise unaonekana goigoi sana
Muulize bei ya sukari huko MKOANI shilingi ngapi?

May Allah bless Me and You
 
Mkuu aliyewateua anawaita wapumbavu hadharani, ww mpambe unatuambia nini? Mimi ni mkulima naweza kukuambia wala simkumbuki jina huyo waziri wa kilimo achia mbali kuona tija yake. Au ww mwenzetu kwa kuwa unaishi nyumbani kwa waziri ndio unadhani wote tunaona ubora wao kama ww? Mkuu inaonekana ww kwako Tanzania ni Dar tu. Kaa kimya unachekesha tu hapa jukwaani.
Msamehe bure hata jf anadhan inaishia dar tu jama radio za jamii.
 
Ilishasemekana Mawaziri ni WAPUMBAVU,wacha wa sign payrol wajichukulie mihela,maisha yasonge
 
Back
Top Bottom