Elimu inakufa, Mfumo wa Ajira unaelekea KUZIMU, Mawaziri WAMESUSA, Tunaelekea wapi wadau ?

Mawaziri wenye akili zao walishaamuaga kukaaga kimya Siku nyingi tu kwan hawathaminiwi wala kusikilizwa zaidi wakishauri ushauri wao unakataliwa instantly
Wamesusa mpaka hata boss wao ameshindwa awafanye nini, maana atawatumbua mpaka lini

- Mambo yanafanywa kuwa magumu kila siku
 
Mawaziri wenye akili zao walishaamuaga kukaaga kimya Siku nyingi tu kwan hawathaminiwi wala kusikilizwa zaidi wakishauri ushauri wao unakataliwa instantly
Hii ni sabotage mbaya kuwahi kutokea nchi hii..... Wapo tu kama masanamu huku wakichukua mishahara na marupurupu kila mwezi... Huu ni uhujumu uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom