Elimu inahitajika kwa Watanzania

Elimu inahitajika kwa Watanzania

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
Kuna watu kwa ujinga au kutokuelewa au chuki unamkuta mtu anabisha mpaka unamuonea huruma ukisema barabara zinazojengwa na serikali yaCCM anakataa anasema zinajengwa na serikali kamaCCM wangewakatalia CHADEMA kupita

Hizi siasa za kudandia na kutoelewa mnaenda wapi tabu, naombeni muwasaidie.
 
Hayo huwa mambo ya vijiweni. Kila mtu anataka sauti yake isikike zaidi ya wote. Wengine hata wanachoongea hawana clue yoyote.
 
kuna watu kwa ujinga au kutokuelewa au chuki unamkuta mtu anabisha mpaka unamuonea huruma ukisema barabara zinazojengwa na serikali ya ccm anakataa anasema zinajengwa na serikali kama ccm wangewakatalia chadema kupita

hizi siasa za kudandia na kutoelewa mnaenda wapi taabu naombeni muwasaidie

Cc Shy land
 
Last edited by a moderator:
Mh me mtu akianza kuongelea siasa naona ananipigia kelele
 
Kuna watu kwa ujinga au kutokuelewa au chuki unamkuta mtu anabisha mpaka unamuonea huruma ukisema barabara zinazojengwa na serikali yaCCM anakataa anasema zinajengwa na serikali kamaCCM wangewakatalia CHADEMA kupita

Hizi siasa za kudandia na kutoelewa mnaenda wapi tabu, naombeni muwasaidie.

kati ya wajinga nawe ni mmojawapo na unaihitaji elimu kuliko mlo wa siku! Wawezaje sema ccm inajenga barabara? Una maana wanachama wa ccm ndo walipa kodi pekee kwa nchi hii? Sisi ambao siyo wanachama kodi zetu zinatupwa wapi?
Nikusaidie jibu la ujinga wako kuwa; kodi za wananchi wa tz ndizo zinazotumika kwa miradi yote ya ndani ya nchi. Vinginevyo ccm mnakiba sana fedha za miradi ya maendeleo ndo maana nchi imekosa maendeleo ya maana kwa miaka 50+ ya uhuru.
Isitoshe miradi yote ya ujenzi wa barabara ni mikopo toka nje. Tambua hilo kuwa ccm haiwajibiki kulipa deni bali watz wote bila kujali itikadi zao. Kasome!
 
Back
Top Bottom