fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Ni asubuhi saa 12:30 wanafunzi wa Shule ya Msingi Kizuiani, Wilaya ya Temeke (Dar es salaam) wakiwa wamekaa uwanjani wakiendelea na masomo.
Nawapongeza sana Walimu wa Shule hii kwa jinsi wanavyojituma.
Nawapongeza sana Walimu wa Shule hii kwa jinsi wanavyojituma.