Sie shule yetu tumeboost sana ufaulu, mwaka jana tulipewa milion 3 zawadi ya kupandisha ufaulu....tulifaulisha kwasababu kulikua na ratiba ya mitihani kila weekend na kila siku jioni kuna remedial classes ambayo tunafundisha bureeee wanafunzi wanachanga hela ya chakula Chao tu make hawawezi kubaki mchana na njaa wakasoma, now elimu bure hakuna wa kuchangia mitihani wala msosi hivo hakuna mitihani wala remedial classes ngoja tusubiri jipu
Elimu bure ina malengo mazuri ila nadhani hatujajipanga bado