Elimu bora....

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,822
59,435
Hivi kule bungeni wanapokua wamesinzia kwenye maviti yao yale hua wanawafikiria watoto kama hawa kweli?!
 

Attachments

  • 251045_190483097666147_100001133736084_457581_1825318_n-1.jpg
    251045_190483097666147_100001133736084_457581_1825318_n-1.jpg
    46 KB · Views: 517
Hawa waliopo mjengoni nao walipitia kama hao watoto ingawa sasa wamesahau, ajabu ni kuona akili zao nyingi zinatokana na kupitia huko. Hata hao watoto wakikua watasahau na kuwasahau watoto wao, kinachotakiwa ni kuibadili hii mentality ya kuona shida ndio inamfanya mtu awe bora hapo baadaye.
 
yaani mi nikianzaga kufikiria utumbo wa hao jamaa huwa nachoka kabisa
 
aiseee mafisadi walete watoto zao wasome hapo kwenye vumbi na jua
sasa mwalimu anapataje msahara jamani tz inatisha na kusikitisha sana
 
Ulitoka mavumbini, Utakula mavumbini, Utasoma mavumbini, Utahangaika mavumbini, Utazeeka mavumbini na Utarudi mavumbini..! Ha ha ha ha ha!! Kazi tunayo Wendabure sisi!
 
Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika. Ama kweli hii ndio kasi zaidi na ari zaidi
ya kuelekea kwenye Ujima.Halafu bado CCM wanaendelea kuongoza hii Nchi
 
Back
Top Bottom