Elimu bora....

Hivi kule bungeni wanapokua wamesinzia kwenye maviti yao yale hua wanawafikiria watoto kama hawa kweli?!


Watoto wetu wanateseka sana...
3.jpg



shulembuyuuuuu.jpg



Jamaa yetu wala hana habari..!!
jk.jpg
 
Hapo vipi wajameni!


Hii picha mpelekeeni mkweree aone athari za kubadilisha matumizi ya fedha za wafadhili zinazotakiwa kupelekwa kwenye elimu na afya na badala yake kuzipeleka kwenye Usalam wa Taifa na jeshini!!!
 
Back
Top Bottom