TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Hivi vifo vya viongozi wetu kuanzia cha mkuu wa nchi vinawalakini kuna kitu nyuma yao ila watu wanatembelea Corona ndo maana majaliwa kapoa sana siku hizi toka ende madudu ya hazina na mwendokasi sijui walimtisha kidogo.
Corona bandia imeangusha serikali nzima.

Mabeberu sio watu.
 
Na kaskazini wanaaanguka sana jamani au mwenyekiti anaijua hii siri? Unajua imekua kawaida sana sasa hivi kuskia mtu kafa yan hushtuki tupige goti tusali dakika za lala salama hizi ndugu
 
Moja ya watu waliokufa bila kashifa, mtu muungwana sana sana.

Msalimie Magufuli mwambie huku Matozo kama yote.

Covid bwana haya bwana!!
Ila sijaelewa tu kuwa ilikuwaje alipomaliza Advanced Diploma kisha akaenda kufanya Masters Degree yake.

Tafadhalii mliosoma na Kufika huko Vyuo Vikuu ( tofauti na Sisi akina GENTAMYCINE ) mtudadavulie kidogo hapa na kwamba inawezekana vipi Kitaaluma?

Otherwise pole kwa Familia yake, Wapiga Kura wake, Serikali ya Tanzania, Chama Tawala cha CCM, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kwa Ujumla kutokana na Msiba huu mkubwa na mzito.

May His Soul Rest In Eternal Peace.
 
Poleni ndugu , jamaa na marafiki.

Tukapige chanjo awamu yetu ikifika kwasasa ngoja waanze waliokuwa sebuleni kwanza.
 
Na kaskazini wanaaanguka sana jamani au mwenyekiti anaijua hii siri? Unajua imekua kawaida sana sasa hivi kuskia mtu kafa yan hushtuki tupige goti tusali dakika za lala salama hizi ndugu
Wale wanaoona system inawatesa wala hawaoni uchungu viongozi wa serikali wakifa kwani wanaamini ni malipo ya madhila wanayopatiwa, nchi iko katika mpasuko mkubwa japo kuna wanaojifanya huo mpasuko si lolote si chochote kwa kuwa wao ndiyo wameshika mpini.
Huu mpasuko utazidi kuongezeka kadri siku zinavyosonga kwani radicalism inazidi kuongezeka kila uchwao.
Ngoja tuendelee ku zoom huku tukisheta popcorn.
 
Wasomi ingilieni kati muhas wanafanya nini? Sijaona hata wanaadika andiko lolote la covid elimu ya tanzania tunapigwa sanaaaa
Halafu mkuu wao alichaguliwa mfanyakazi bora Mei Mosi.. hakuna wanachofanya zaidi ya kutengeneza lile chujio la kujifukiza.
 
Ila sijaelewa tu kuwa ilikuwaje alipomaliza Advanced Diploma kisha akaenda kufanya Masters Degree yake.

Tafadhalii mliosoma na Kufika huko Vyuo Vikuu ( tofauti na Sisi akina GENTAMYCINE ) mtudadavulie kidogo hapa na kwamba inawezekana vipi Kitaaluma?

Otherwise pole kwa Familia yake, Wapiga Kura wake, Serikali ya Tanzania, Chama Tawala cha CCM, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kwa Ujumla kutokana na Msiba huu mkubwa na mzito.

May His Soul Rest In Eternal Peace.
TISS.
 
Wale wanaoona system inawatesa wala hawaoni uchungu viongozi wa serikali wakifa kwani wanaamini ni malipo ya madhila wanayopatiwa, nchi iko katika mpasuko mkubwa japo kuna wanaojifanya huo mpasuko si lolote si chochote kwa kuwa wao ndiyo wameshika mpini.
Huu mpasuko utazidi kuongezeka kadri siku zinavyosonga kwani radicalism inazidi kuongezeka kila uchwao.
Ngoja tuendelee ku zoom huku tukisheta popcorn.
Hivi huyu mama mnamuelewa? Naogopa
 
Back
Top Bottom