Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,130
- 33,518
- Thread starter
- #141
Unajua kuna ideologies mbili ambazo wanawake bado hamjachagua moja for once amd for all, ndio sababu inayoleta utata linapokuja suala la nani anachangia nini au anapaswa kuchangia. Ideologies zenyewe ni patriarchy na feminism.Hicho unachokiita offloading financial responsibilities sio offloading per se!
Wewe bwana wewe! kwahiyo wanawake wanacholeta mezani ni prayers na advice tu? mbona umechagua vitu vyepesi vyepesi tu? What about sisi tusijua kusali/tusiosali? probably atheists? What about sisi ambao ni naive ambao hatuna chochote cha kumshauri mtu?
Unakwepa kabisa physical +emotional labor mnayowafanyisha wanawake, tena hiyo physical labor inaleta pesa mezani hata kama si kwa kiwango kile ambacho wewe unatoa.
Bana we, if we are speaking about marriage and long- relationships. Hivi vitu brings a shift in responsibility, priorities, identity, and accountability. Hapa ndipo mwanamke anapoanza kulose herself na kujenga himaya yako, ambayo ndani yake naye yumo. Sasa kama mtu huyu ha-deserve elevation then nitaanza kushauri wanawake wakae mbali na mahusiano/ndoa 😂 Kwasababu weeeee! Ungeweza?
Katika patriarchy tuna-assume kwamba mwanaume ndie anapewa fursa zote, kwa maana hiyo atawajibika kubeba jukumu lote la protection and provision kwa mwanamke. Sasa hapa mchango wa mwanaume ni tangiable yaani vitu ambavyo vinaonekana kama hela, assets n.k, na mchango wa mwanamke ni intangible mfano emotional support, sala, peace of mind n.k
Katika feminism tuna-assume mwanaume na mwanamke wote wanapewa fursa sawa. Kwa maana hiyo kila mmoja atatakiwa kuja mezani na tangiable values kama hela na assets.
Mgongano wa "what do you bring o the table? ". Unasababishwa na wanawake kutaka muendelee juingia kwenye mahusiano na intangible contributions kama sala,emotional suport, wakati mfumo wa maisha ya kisasa mnahitajika nanyi kuja na tangiable values za hela na assets maana mmepewa access za elimu na ajira kama mwanaume.
Kwaiyo likija suala la nani anatoa nini ni vyema kubaki kwenye identical standard moja. Kama mwanamke unatoa intangible value basi na mwanaume atoe intangible value, na kama mwanaume anatakiwa kutoa tangiable value basi na mwanamke atoe tangible value. Kutaka mwanaume aje kwenye mahusiano na tangiable halafu mwanamke aje na intangible value hapo ndipo inaibuka ile assertions ya vijana kwamba "wanawake wote wanajiuza, wametofautiana mbinu tu"
Shida yako kubwa ni bado haukubaliani na usawa wa kijinsia kwenye provision na kulipa bill. Ndio maana unahama hama kwenye msingi wa kujenga point. Leo utatumia patriachy point of view kesho utatumia feminism point of view kulingana na masilahi yapo upande upi. Kama mwanaume anatakiwa kuja kwenye mahusiano na tangiable value mfano hela na mali basi na mwanamke pia aje na hizo tangiable values. Kama mchango wa mwanamke ni intangible values mfano prayers, peace of mind basi na mwanaume pia achangie hizo intangible values. Mambo hayatakua mengi.