Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,130
- 33,523
- Thread starter
- #61
Suala la kutongoza lipo kisaikolojia zaidi. Mwanaume ndie huwa anafanya direct first move, lakini haimaanishi mwanamke hana uhitaji. Infact mwanamke pia anatongoza ila kwa kuonyesha ishara, ni wachache sana wana ujasiri wa kumface mwanaume na kumtakia wazi.Huwa unajadili mambo from the mouth of which river? Unajua kuwa kwa 80% wanawake hatutongozi? So now tell me ni kwanini mtu umtake mwenyewe halafu ulalamike unayoyalalamikia hapa.
Hicho ndicho ninachoongelea mimi. Mwanaume pia afanye calculation aangalie atapata elevation gani kabla hajaji-commit kwenye mahusiano na mwanamke.Ngoja nikupe siri, Men likija suala la long-term relationship are always intentional, Ikiwa yeye ana asset na chochote alichonacho anavyoamua kuwa na mwanamke wa aina fulani kuna vitu anakuwa ameshavutiwa navyo kwa mhusika, wanaume hawachukui wanawake kwa HURUMA wanachukua wanawake wakiwa wanajua exactly watanufaika na nini kutoka kwa huyo mwanamke, Hiko anachonufaika nacho ndicho lazima akifanyie compensation , ambapo kwa hapa ni “Elevetion”.
Ni ukweli ulio wazi bila financial security kwa mwanamke hakuna maana ya yeye kuwa kwenye mahusiano.
Mwanamke akiulizwa what do you bring on the table, atakuja na blah blah tu za prayers, advice and peace of mind... Totally bullshit., if her prayers and advice wouldn't be as useless as a used toilet paper she wouldn't be looking for a man to offload her financial responsibilities to.