Elevation

Elevation

Hizi ni intangible contributions. Zimekaa kisiasa sana. Elezeeni tangiable contributions zenu yaani zile ambazo zinaonekana, zinapimika au zinashikika mfano hela, assets, connections n.k
MImi nawaheshimu sana wanaume sijafikia kusema tunaweza fanan kias kulinganishana na vitu kmaa hivo sisi ni weak iko hivo japo sikuhiz wapo wanaume wanalelewa sio wote nawao ni kama hao wanawake unawasema

Inawezekanaje mwanaume kuanza kuhesabh vitu vya mwanamke kujipima nae uwezo au ni nn
 
Mwanamke kwangu akiniganda naona kelo,Zaid ananinyima raha,mara akulazimishe kufanya mapenzi wakati hutaki,mara akulaliye ovyo ovyo wakati unastress zako,Mwanamke ni kero tu
Ni kwako hujapata bahati huenda piia hujawah kupenda ila kwa wengine mapenz ni maisha kunawanaume walikuwa mashimoni ila wakapewa tabasamu na wenza wao
Ukikaa nao watakwambia mapenz ni mazuri na wanawake ni wazuri so iko hivo kwa kila mtu kulingana na expirience yake
 
Kwangu mapenzi sio maisha ni kitu cha ziada,sio cha msingi
 
Unajua kuwa kwa 80% wanawake hatutongozi? So now tell me ni kwanini mtu umtake mwenyewe halafu ulalamike unayoyalalamikia hapa
Kwasababu mwanaume ukimtaka mwanamke, haimaanishi huyo mwanamke ana mtizamo sawa na wewe unaetongoza, ni vile tu wanaume sisi tunakaza fuvu.

Mnatongozwa, ila 80% of the time mnafatwa na wanaume ambao hamuwataki, sasa vilio ndo vinaanza hapo, na wanaume wengi wa miaka hii wana-reason, mwanaume anaona anaweka effort kuubwa kwenye kuanzisha na kuendeleza mahusiano, kuliko vitu anavyopata..Yani in business terms ni sawa uwekeze tsh billion 2 kwenye biashara halafu faida kwa mwezi upate tsh laki 2.. that's the reality ambayo wanaume wengi hukumbana nayo kwenye mahusiano. binti kiziwi
 
Naelewa……
 
Suala la kununua hilo halina haja ya kuumiza kichwa ni kuweka dau mezani tu. Lakini suala la kuje ga meaningful relationship ni ukweli usiopingika in most cases kwa sababu ya kipato wengi tunaishia ku-settle na second option.

Wanaume huwa tunachelewa kidogo kuwa thamani kubwa kwenye dating pool kwa sababu factors zinazotupa thamani ambazo ni finance and stability zinahitaji muda kuzifikia.

Mwanamke anaingia kwenye dating pool akiwa tayari ni ready-made. Sasa hapo ndipo kunakua na mgongano. Analazimika ku-settle na mwanaume ambaye tayari ana factor zinazompa thamani yaani finance and stability, sio mwanaume ambae anaependana nae.

Na yule mwanaume anaependana nae baada ya miaka kadhaa hustle zake zikijibu akishakua na hizo factors za finance and stability ata-settle na mwanamke mwingine.

Kwaiyo in most cases suala la kusema kama mnapenda mtaishia kuwa pamoja linakua limekaa ki-fairystory zaidi

Well said
Na huu ndo ukweli uliopo
 
mambo ya kutumia akili ili mwanamke akuelewe wakati wa siku ya mwisho atakuacha sio kabisa,kinachomfanya mwanaume kutumia mipango mingi kumpata mwanamke ni akili ya utamu kwanza halafu mengine huwa yanafuata baadae sasa muwe makini mnavyoanza mawindo je unampenda kwasababu ya kiburudisho au akuzalie watoto mjenge familia itakayo kuwa na furaha?, mimi naamini mwanamke kama ni wako atakua wako tu hutatumia nguvu,yani sumaku huvuta chuma
Hakika mkuu, ukiona unatumia nguvu kubwa ya ushawishi ili awe wako au aendelee kuwa wako jua umeshapoteza pambano.
 
Nafikiri kwenye mahusiano na maisha kiujumla hata wanaume mnahitaji sana kuwa elevated. Unaanza mahusiano na binti, anakuhamasisha kununua kiwanja, kufanya biashara, kuwekeza na ni kimbilio lako wakati hata una stress za kazi. Binti anaplay role yake vizuri. Shida wanaume wachoyo mnaangalia sana hela ila. Ukiombwa hela unaona kama unataka kutolewa roho. Nyie mambo pia sio mepesi kama huna hata wa kumwambia siku yako ilivyokua mbaya. Ukisikia wanaume wanakufa haraka ndio mambo hizo. Wacha nikazogoe na sweetlady mie
 
20260222_061425.jpg
 
Sio tu girls. Kuna wanaume wameoa lakini wachoyo hadi kwa wake zao wa halali kabisa. Haya mambo ya usawa yatachukua muda mrefu sana hadi tufike huko. ila tukitaka kuyaanza now wakati hatupo tayari hata na mifumo bado sio mizuri lazima mahusiano yaonekane magumu.
Vijana nao hawataki golikipa tu asiye kuwa na hata mawazo ya kulima mchicha
 
Hizi ni intangible contributions. Zimekaa kisiasa sana. Elezeeni tangiable contributions zenu yaani zile ambazo zinaonekana, zinapimika au zinashikika mfano hela, assets, connections n.k
Hizo intangible ndio uhalisia wetu. Wanawake wengi wana mazingira magumu kutengeneza connections sio kama wanaume. Wengi kwanza wakitoka kazini wanawaza kuwahi familia na kuendelea na majukumu ya kinyumbani. Nafikiri pia ni taasisi chache zimeweza kuweka usawa wa kijinsia kwa waajiriwa wao ila wengi hata maofisini wanaume ni wengi kuliko wanawake. Bado tuna safari ndefu kiasi kutengeneza fursa za ajira, biashara na elimu ili kuweza kufikia huu usawa kiasi kwamba tulinganishe mali wanazochuma mwanamke na mwanaume katika familia.
 
Back
Top Bottom