Elevation

Elevation

Vijana hao hao ndio

Vijana hao hao wanawatongoza magoli kipa halafu wanakuja kutusumbua humu.

Na vijana baada ya kufanikiwa wanadai eti bikra😁
20260222_063835.jpg
 
Kuna mafanikio mengine yanakuja baada ya kuoa so kadri unavyochelewa kuoa ndipo unaposogeza mbele mafanikio yako. Cha msingi upate mwenza sahihi.
Mwenza sahihi sio rahisi kumpata kama unavyofikiri, nchini nzima na dunia nzima inaonekana wamebaki 20 tu, yani awe ana mzuri na mvuto na tabia zake uzipende pia 🤔
 
Mwenza sahihi sio rahisi kumpata kama unavyofikiri, nchini nzima na dunia nzima inaonekana wamebaki 20 tu, yani awe ana mzuri na mvuto na tabia zake uzipende pia 🤔
Lazma kuna tabia mbaya moja au mbili ukubali kuzitolerate. Hakuna mwenza amekamilika kila kitu. Hapo kweli utaoa ukiwa na 60+ bwashee wa mtu.
 
Siku zote nasema, vilio vingi vya wanaume humu jf vinaanzia hapa Aaliyyah
Kunakitu ukielewa maisha hayawz kukupa shida unatakiwa ujue hakuna mkamilifu huwez kupata kila unachotak kwa mtu wako huyo mmoja iwe mwanamke au mwanaume

Unawza kuona mtu anajali sana au mwanamke supportive kwa mume ila sio mama mzuri,unaweza pata mama mzuri ila mbinafs kwenye masuala ya kifamilia hata wanaume wana upande inabid ubebe hayohayo yaliyobora na yanayokuvutia ili ufiche madhaifu mengine

Tatizo mnatak kilakitu awe mzuri awe supportive alete unga nisipoleta ajue kulea watoto awe romantic kwa mtu mmoja huyohuyo sudhni km inawezekana
 
KUnakitu ukielewa mausha hayawz kukupa shida unatakiwa ujue hakuna mkamilifu huwez kupata kila unachotak kwa mtu wako huyo mmoja iwe mwanamke au mwanaume

Unawza kuona mtu anajali sana au mwanamke supportive kwa mume ila sio mama mzuri,unaweza pata mama mzuri ila mbinafs kwenye masuala ya kifamilia hata wanaume wana upande inabid ubebe hayohayo yaliyobora na yanayokuvutia ili ufiche madhaifu mengine

Tatizo mnatak kilakitu awe mzuri awe supportive alete unga nisipoleta ajue kulea watoto awe romantic kwa mtu mmoja huyohuyo sudhni km inawezekana
Hayo yanavumilika , ila matatizo mengi ya ndoa na mahusiano ni usaliti na pesa ndio tatizo kuu
 
Nafikiri kwenye mahusiano na maisha kiujumla hata wanaume mnahitaji sana kuwa elevated. Unaanza mahusiano na binti, anakuhamasisha kununua kiwanja, kufanya biashara, kuwekeza na ni kimbilio lako wakati hata una stress za kazi. Binti anaplay role yake vizuri. Shida wanaume wachoyo mnaangalia sana hela ila. Ukiombwa hela unaona kama unataka kutolewa roho. Nyie mambo pia sio mepesi kama huna hata wa kumwambia siku yako ilivyokua mbaya. Ukisikia wanaume wanakufa haraka ndio mambo hizo. Wacha nikazogoe na sweetlady mie
soma vizur mada mwishon
Kuna elevation na wanaostahili.
Hapo wew unazungumzia wanaostahili.
 
Back
Top Bottom