Sijapata neno moja la kiswahili linaweza kuwa na maana mahususi ya neno "elevation". Kwa kingereza tunaweza tukasema "being raised to the higher or more important level or position". Kwa lugha yetu tunaweza kusema kupandishwa kwenda kwenye nafasi ya juu au ya muhimu zaidi.
Elevation, ni moja kati ya neno muhimu sana unatakiwa kuliweka akilini kama unataka kuelewa jinsi mchezo wa mahusiano unavyo-operate. Kupuuzia "elevation" kunawafanya wanaume wengi sana wapigwe na butwaa.
Sasa nataka nikwambie kitu kimoja. Akili ya mwanamke ina neno moja tu - elevation. Utakapoonyesha interest ya kumtaka tayari atakua ashapiga hesabu kama una uwezo wa ku-elevate maisha yake. Kwa mwanamke mahusiano sio feelings exchange tu, ni elevation pia.
Ulikua haujui? Ukifikiri upendo wa mwanamke ni unconditional? Nani alikufundisha hivyo? Kiongozi wako wa dini?. That's the problem, you like listening to fairy stories.
Upendo wa mwanamke kwenye sekta ya mahusiano ni conditional. Labda kama unataka urafiki wa kawaida tu, that can work without conditions.
A woman's mind has no room for sympathy. If you're a man who struggling financially she will not even look your way, unless she assess that your struggle is temporary. She can hang in there with you, it's because she calculate the potential. Although, she can leave if she see no progress.
Tatizo wengi tangu mkiwa wadogo mmekalilishwa blah blah za pure love, sijui soul mates na upumbavu mwingine. Kijana hakuna upuuzi kama huo. Adults love with strategy, not fantasy.
If a woman love with calculated steps, you too should do the same. If she has nothing: no skills, no job, no money, no business, no connections, leave her. A woman cannot tolerate a liability, why should you tolerate it in her.
Don’t be a simp.
You nailed iit
I remember old days I met a girl and I told her nimekupenda she said I have my Boy. Nilvyo nikasema poa nikaendelea na mishe zangu after a week she started to check me ananicuunguza Kila nachofanya ALIKUWA ana look zaidi mambo yangu ya starehe na mitoko.
Mara ghafla she started to ask umewahi tembelea nchi ngapi , oh I wonder this poor girl but I cheated in all aspect kifupi she didn't know actual even where ninaishi.
But ghafla anaonbanesa oh nilikuona KWENYE gari unapita nakupungia mkono hata usimami jimekupigia upokei.
I told her sikuona na nilikuwa busy mambo ya simu na gari hapana.
Nikauliza ulitaka kusemaje eti nothing but I was having tumbo problem basi bana nikauliza ulokunywa dawa kaka sema nope sio maumivu ya tumbo sana but it was hamu ya chipsi then I asked her request that chips I pay or my God kumbe inataka pesa TU, wakati nasubiri iagize ILI akija jamaa nilipe bhana kananiangalia TU ikabidi niulize mbona huagizi mpigie simu au si naona hapo jirani TU wanauza kakasema no chipsi nitanunua baadae nipe hela ya chipsi nikajifanya SIJUI Bei eti chipsi inauzwa 20k *****. Nikasema moyoni siwezi FANYA huu ujinga huyu haifai LAKINI nikasema this is a bitch girl and a cheap one.
I gave her 3k and leave her alone.
After that day next day she needed bundles I asked her how much she said 10k , I gave her 5k and the day left like so.
Sasa ikawa mchezo WA kuomba PESA indirect mara Leo sijauza duka Niko hovyo SIJUI nitakulaje.
Nikauliza where is your boykakasema ahah aha nilikuwa nakupima TU nione kama kweli utanipenda.
Niliishiwa pozi
Hapo we did chat via phone I told her I'm sick come here in bar near lodge you get what you need.
Kakasema oh you think am a bitch, I can't get down there. Mimi kukuomba such money MPAKA nije huko hunieshimu Mimi si wadada wa bar.
Nikakaambia siwezi KUKUPA PESA Kila siku alafu nakuita hapa hutaki nikanyuti.
After a day kana nicheki again lanashida nilijua wanawake wengi maslahi mbele wao wanataka utumie wewe ila hawawezI kuhumia wao Kwa ajili yako, a time I squeezed her in a professinal lodge she accept I did my did. Then I eacor her home from there We don't talk again.
That is ELEVATION BRO.