Elephant Birth

Elephant Birth

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
18611_431840796879130_2054723044_n.jpg
 
Mbuzi Mzee uache ushakunaku, mbona wewe ukiwa unazaa tembo hawakupigi picha?
 
Last edited by a moderator:
kwa kukadiria anaweza akawa na uzito kilo ngapi?
 
ingekuwa binadamu akizaliwa anatembea hapo hapo dunia ingejaa tungekosa hata pa kukanyaga
 
Mwanadamu akizaliwa kitovu huwa chakatwa na wauguzi au wakunga, hivi wanyama kama huyo tembo ni maarifa gani hutumiwa na mnyama huyo kuondoa "umbilical cord" maana siioni kama yaning'inia hapo ingawa kondo la nyuma limeshatoka
 
Back
Top Bottom