Sikonge Platinum Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,238 May 12, 2013 #1 Hivi hii Beer hapa Tanzania kuna mtu kashaiona? Kwa Tanzania inaitwaje kama ipo? Unajua sisi wa Shamba hatujui Mavituz ya mujini....
Hivi hii Beer hapa Tanzania kuna mtu kashaiona? Kwa Tanzania inaitwaje kama ipo? Unajua sisi wa Shamba hatujui Mavituz ya mujini....
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,001 Reaction score 77,332 May 12, 2013 #2 Inaitwa KINANAA BARIDIII Yaani Meno & Pembe......
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,472 Reaction score 5,410 May 12, 2013 #3 Kennedy said: Inaitwa KINANAA BARIDIII Yaani Meno & Pembe...... Click to expand... Hili jina la Kinana Baridi naweza litumia mitaani au laweza kunitia matatani? Naona bora hizi za kuambiwa nichanganye na zangu.
Kennedy said: Inaitwa KINANAA BARIDIII Yaani Meno & Pembe...... Click to expand... Hili jina la Kinana Baridi naweza litumia mitaani au laweza kunitia matatani? Naona bora hizi za kuambiwa nichanganye na zangu.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 May 12, 2013 #4 Zinaitwa Kinana, njoo makirikiri bar huku kwa Mnyamani utazipata...
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,898 Reaction score 55,875 May 12, 2013 #5 Ndovu special malt
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 12, 2013 #6 hawa jamaa kiboko wanachukua Tembo Mnyama wanatuletea Pombe ya Tembo, LENGO LAO NINI HASA?
Kinyerezi JF-Expert Member Joined Jan 28, 2009 Posts 487 Reaction score 149 May 14, 2013 #7 Kinana hiyo, wee acha tu
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,001 Reaction score 77,332 Jul 23, 2016 #8 Malila said: Hili jina la Kinana Baridi naweza litumia mitaani au laweza kunitia matatani? Naona bora hizi za kuambiwa nichanganye na zangu. Click to expand... Ukilitumia UtakuwA Kwenye Hali Tete!
Malila said: Hili jina la Kinana Baridi naweza litumia mitaani au laweza kunitia matatani? Naona bora hizi za kuambiwa nichanganye na zangu. Click to expand... Ukilitumia UtakuwA Kwenye Hali Tete!