Huu sasa ufisadi. Itakuwaje mnaandika vitu sisi wengine hatuelewi mnasema nini?
Huu sasa ufisadi. Itakuwaje mnaandika vitu sisi wengine hatuelewi mnasema nini?
Tunashukuru sana huu ulimwengu wa mtandao watu tunauwezo wa kuchukua maneno ya topiki na kupata tafsiri yake kwenye online Dictionaries or by google anything and come here for contribution.Ila kuna mambo mengine yana hitaji basics.So we be careful.
Huwezi kutumia dictionary au google kama huna basics. Kumbuka pia kwenye dictionaries na google wanasoma vitabu wanavyosoma wengine na sio kusema wao ndio wavumbuzi au watafiti per se.
The fundamental different is when you discuss basics rather than main topic.
...Ukifunguliwa uwanja wa biology au cosmology na wenyewe waanze kujadiri mavitus yao, wengine tutaona nyota tu lakini bado hautakuwa ufisadi.
It's not my fault if you can't keep up.
Kujielimisha ni muhimu lakini huwezi kujielimisha mpaka ujue kila kitu kinaga ubaga.
Ukifunguliwa uwanja wa biology au cosmology na wenyewe waanze kujadiri mavitus yao, wengine tutaona nyota tu lakini bado hautakuwa ufisadi.
Mbona siasa wote tunaweza?
Sawa kaka naona huko kwenye anga zako. Ngoja nisubiri breking Nyuzi katika siasa.
Lakini kabla sijaondoka. Nilikuwa nauliza kama kuna uwezekano wa kutumia tindikali kutengeneza dhahabu. Maana nasikia kuwa chemical elements zote zimetokana na source moja. Ilianza hydrogen na kuwa accelerated kwenye elements zingine.
was the question asked by the thread starter intented to discuss basics or the main topic?
Kama mapigo huyawezi lakini bado mtu unang'ang'ania kwamba unaweza kwa ku amplify ulichokisia na kisichokuelea, wewe bado huwezi na kubali kwamba huwezi hakuna aibu wala nini ndani yake. Kung'ang'ania na kuweza ni mambo mawili tofauti.
Siasa si kuongea na kutoa maoni au msimamo tu.
Siasa ni kubuni na kutekeleza mfumo unaweza kutafsiriwa katika kujenga uchumi wa nchi kwa kuzingatia mazingira na wazingirwa.
Siasa siyo maneno tu. Ili iwe siasa ni lazima yawe maazimio yawezayo kutamkwa na kutafsiriwa katika utekelezaji kivitendo hatua kwa hatua huku mwanya wa kurekebisha yasiyowezekana ukiachwa wazi.
Wengi tunajiingiza kwenye siasa si kwa sababu tunaijua au tunataka kuwa wanasiasa ila ni kwa sababu Siasa inatuthiri katika maisha yetu ya kila siku kwa hiyo kama mshindonyuma tunazama katika majadiliano.
Je tunaijua siasa kweli?
Inawezekana in principle ila siyo kwa kutumia tindikali, you will have to arrange the gold atom by atom, and smash some rather heavy atoms in some rather powerful particle accelerator, which would be many times more expensive than just buying the gold.
Najua tu ulitaka kusema "You are !d1ot". Lakini umezunguka we mpaka nimepata point.
Binafsi huwa sijisikii vema kumwita mtu !diot kwa sababu kwanaza siyo mwelekeo chanya wa mawasiliano na pili na muhimu,katika purukushani za kumwita mtu !diot mara nyingi wewe mwenyewe unageuka kuwa !diot.
Jambo muhimu katika maongezi au mawasiliano yeyote ni kuuliza maswali na kujaribu kutatua utata wa kila tungo kwa mitazamo tofauti.
Hata katika hoja inayodhaniwa na kila mtu imebeba ujinga na ujuha wa hali ya juu kuna jambo la kujifunza, pia kuna ujumbe wa kuelimisha.
Sikuwa na nia,haja wala hila ya kutaka kukuita !diot.
Yo Madela, what up mayn?