nina swali hapa ambalo ninapenda kujadili na watu wanaoelewa nalo ni kwamba kila mtu anafahamu kwamba atom imejengwa na nucleas ambayo proton (+) na nutron (0), pamoja na elektron (-).
Na sote tunafahamu kwamba elektron inazunguka nucleas mithili ya sayari zinavyolizunguka jua.
Sasa swali langu ni kwamba ni kwa nini electron haiangukii kwenye nucleas kwa maana tunafahamu kwamba chaji chanya na hasi zinavutana na ukichukulia kwamba electron ni hasi na nucleas ina chanya kutokana na neutron? na kama hilo halitoshi Je ni kwa nini proton ndani ya nucleas hazipambani na na kusukumana pande mbili tofauti kwani zoote zina chaji ya aina moja (+)!!!!
The notion that the electron goes around the nucleas like the planets around the sun is classical and mistaken, the reality is rooted more in quantum mechanics, where everything is a probabilistic blur, and you can only speak in probabilistic terms, therefore in the form of the probability of the electron's wave function. This is due to Heisenberg's uncertainty principle which basically restricts the accurate knowledge of an electron's position and acceleration at the same time.The more you know about an electron's position, the less you know about its acceleration and vice versa.
Kulingana na swali lako la kwanza ni kwamba ni kweli kuwa eletroni zinashikiliwa ktk njia zake zinazozunguka nyukiliasi kwa kuwa zina chaji hasi na nyukiliasi ina chaji chanya ,na kufanya kufuata ukweli wa kuwa chaji tofauti kuvutana.Na kiasi cha nguvu kinachoshiriki ktk uvutano huu ndio zinafanya na kujipanga njinsi zivyojipanga.Na nguvu hii iki athiriwa hufanya elekroni hizi kusogea karibu na nyukiliasi kama ambavyo unapenda iwe ama kwenda mbali na nyukiliasi.(electonics from one energy layer can jump to higher engergy layer or lower)Pia kuna wakati mwingine eletroni ktk sheli ya mwisho ya atomu (outer most shell) huweza kutoka nje ya uvutano na nyukiliasi na kuwa huru (free electron) na hii ndizo zinahusika ktk kutupatia umeme.
Kwa hiyo electroni zipo zilipo kutokana na hiyo ikwilibiamu.
Kingine cha kuzingatia ni kuwa tungamo(mass) ya eletroni ni ndogo sana kulinganisha na ile ya nyukiliasi. Kwa hiyo zina chaji tofauti na tungamo toauti,
ili zimezane kama unavyotaka ilibidi ziwe na tungamo sawa na chaji tofauti kusababisha kuwa na nishati sawa na zenye chaji tofauti(equal and opposite charge).
Kusherehesha hiki vema inabidi kuingia ndani zaidi na kujadili kitu subatomic kiundani,subatomic inahusisha proton ,nutroni(nuetron) na eletroni(electron) .Tunajua nuclues imejengwa na proton na nuetron,na proton na nuetron zimejengwa na kitu kinachoitwa quarks.Proton ina quarks tatu mbili zenye +2/3 na moja yenye -1/3 muunganiko wake unafanya proton kuwa +1.Nuetron ina quarks tatu ,moja chaji +2/3 na mbili chaji -1/3 na kufanya net charge kwa nuetrons kuwa 0.
Electons zenyewe ni aina ya kitu naitwa leptons ,kwa hiyo electrons ni leptons which are charged(-ve).
Swali la pili nadhani limejijibu ktk maelezo hapo juu ni kuwa protons na nuetrons kwa sababu haziwezi kuwa na nguvu za kusukumana kwa kuwa protons zina/zimefanywa chaji chanya(+) wakati nuetrons zimefanywa kutokuwa na chaji(0).Hivyo huhusiano wa chaji zinazo fanana kusukumana na na zisizofanana kusukumana hapa hauhusu.
Lakini swali langu ni kwamba labda niweke sawa kidogo niliposema kusukumana nilimaanisha proton na proton na sio proton na nutroni kwani haileti maana yeyote kwa kuwa proton haina chaji na proton ina hasi sasa hapo hakutatokea tukio lelote hilo linaeleweka!
Tatizo lipo hapa kwenye protoni; protoni zina chaji chanya basi kwa kawaida ni lazima zitasukumana na protoni zingine kwa kuwa zote zina chaji za kufanana hata ukichukua sumaku na ukaelekeza pande zake mbili zinazofanana utaona kabisa kuwa zina sukumana pande mbili tofauti na hii inatokana na kuwa na chaji zinazofanana sasa kama hilo linatokea kwa sumaku kwa nini sio proton?
This is a very strong force since it can hold the nucleus together in the face of the repulsion of sub atomic particles.
okay, labda niiweke hapa paragraph yote naweza kuelewa vizuri. Kwa upande wangu naona kama ni marudio ya sentensi ya mwanzo so hii inaweza kuelezeka kwa sentensi moja.The strong nuclear force hold the nucleus and subatomic particles together.This is a very strong force since it can hold the nucleus together in the face of the repulsion of sub atomic particles.
quote]
whic force is this?
The strong nuclear force hold the nucleus and subatomic particles together.This is a very strong force since it can hold the nucleus together in the face of the repulsion of sub atomic particles.
okay, labda niiweke hapa paragraph yote naweza kuelewa vizuri. Kwa upande wangu naona kama ni marudio ya sentensi ya mwanzo so hii inaweza kuelezeka kwa sentensi moja.
The strong nuclear force hold the nucleus and subatomic particles together.This is a very strong force since it can hold the nucleus together in the face of the repulsion of sub atomic particles.
Ha ahaa aaaa, Mama you have trenchant eyes. Nimependa ulivyo makini. Mimi nimekuelewa vizuri, lakini najua kwa nini unadhani Pundit anajirudia rudia lakini yuko sahihi.
Sentensi ya kwanza Pundit anataja jina, ana identify, hiyo nguvu, yani "strong nuclear force," halafu sentensi ya pili ana characterize hiyo nguvu ilivyo. Kamtafaruku kanakuja kwa sababu nguvu inaitwa "strong" halafu ni "strong." Ha aha aaaa!
Lakini nimefurahi sana ulivyo makini hapo.
The strong nuclear force hold the nucleus and subatomic particles together.This is a very strong force since it can hold the nucleus together in the face of the repulsion of sub atomic particles.
How does the strong nuclear force hold the nucleus and subatomic partiles ?
Unajua wakati tuna debate uwepo wa Mungu ukawa unapigia debe imani bila mawazo ya kisayansi nilikuona "huyu nae ndio wale wale..." !
Yah, okay, I know now.
But what makes the strong nuclear force to hold subatomic particles together? There is something more than just a very strong nuclear force.
Huyu hapa amelijibu vizuri original question
The Strong Nuclear Force and Binding Energy
Mama naona unauliza "Stephen Hawkins" type of questions, Hawkins is not satisfied only with describing how things work, but wants to know why they do so.Kitty Fergusson katika "The Fire in the Equations" anasema kuwa Stephen Hawkins sio tu anataka kujua how things work, but what breathes the fire in the equations.
Naona hili swali si jepesi, hata watu wa WikiAnswers hawana jibu bado
WikiAnswers - What causes the strong nuclear force which keeps the protons inside the nucleus
You are venturing in the realm of String Theory and Quantum Electro Dymanics.
Strong nuclear force inasababishwa na kmesons zinazohama in the collission of quasi-real photons.
Mama naona unauliza "Stephen Hawkins" type of questions
...Kitty Fergusson anasema kuwa Stephen Hawkins sio tu anataka kujua how things work, but what breathes the fire in the equations.
...Naona hili swali si jepesi, hata watu wa WikiAnswers hawana jibu bado
...You are venturing in the realm of String Theory and Quantum Electro Dymanics.
H aha a ahaaa aaaaaaaa
Mwanangu ilibidi upotee kidogo kwenye ma research!
Lile swali lake sio mchezo!
All those don't state it clearly. Sasa why don't we leave the STRONG NUCLEAR FORCE not alone, and think also of the electromagnetic forces of the interacting leptons.