The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Nakumbuka huyu jamaa Mubarak alimuwekea ngumu sana sasa upepo wa mabadiliko umetokea sijui kama Mubarak atasalimika'Nina furaha isiyo kifani kusimama hapa mbele yenu. Natambua kwamba kila Mmisiri kweli ni nafsi maalum sana katika ukombozi wa nchi hii. Toka sasa uhuru wa kujitawala baada ya zaidi ya miaka 30 nchini mwetu juu yetu ...,@ El Baradai anaendelea na hutuba Tahriri Square.