Einstein theories of relativity..Mambo magumu kuelezea

Kuna watu dunia hii walikuwa na akili na wameacha faida kubwa kuliko mitume na manabii.
Yaani hawa wateule wa Bwana hawajavumbua hata kijiko halafu ndio wanadaiwa kupitia kwao tutaenda mbinguni na kuketi na Mkuu wa Mbingu na ardhi na vyote vilivyomo!
Logically, mzee Newton ni bora zaidi ya Bwana Yesu na Ndugu Muhammad!
mkuu nadhani unachokitafuta unakipata soon
 
MwendelezoKwenye post ya mwisho tulikubaliana vitu viwili

1. The speed of light is constant.(299,792 kilometers per second

2. Speed = distance/time.

The speed of light is constant.(299,792 kilometers per second.

Maana ya hii kitu ni kwamba speed ya mwanga ni constant regardless ya movement yako.
mfano ukiwa kwenye gari linaspeed ya 320km/s halfu mtu wa nyuma yako akamulika torch kwa nyuma ya gari yako, speed ya mwanga haitapungua kama tulivyoona kwenye relativity ya mabus mawili yanavyoovertake utaona speed ya bus linalowaovertake utaliona lina speed ndogo na basi mnalopishana nalo utaona linaspeed kali. Lakini kwa kuwa speed ya light ni constant regardless ya mwanga/light unapishana nayo au unakuovertake amesimama unauangalia speed ya mwanga haitachange utaiona the same. [emoji3].

2. Speed = distance/time

Sasa kama tumekubaliana speed ya mwanga ni constant haichange uwe umesimama, unamuvu speed haichange utaiona vilevile. Hebu imagine mtu awe na kioo ambacho mwanga unareflect na kurudi chini kama kwenye hii picha hapa.

View attachment 1078659

View attachment 1078663

Sasa hiyo picha hapo juu ni kama hicho kioo kimetulia hivyo lakini imagine mtu kapanda kwenye rocket inayoenda kwa speed ya light na hicho kioo cha kureflect mwanga and wewe ukawa umesimama unamshuhudia utakachoona sio kama hapo juu bali kama hichi hapa chini.

View attachment 1078660

View attachment 1078661

Maana the time it takes the light to reach the mirror hapo juu na rocket nayo itakuwa imemuvu kwenda mbele, kwahiyo mpaka mwanga ufike kwenye kioo wewe hutaona kama umenda juu tu na kushuka, bali utaona mwanga umeenda juu na mbele pia kama kwenye hizo image hapo juu.

Lakini kama ukiangalia utaona kama kuna kadistance mwanga umesafiri.., hiyo distance jamaa wa kwenye rocket hawezi iona maana yeye mwanga umeenda juu na kushuka ila wewe mwanga umeuona umeenda juu na mbele na kuanza kushuka ukielekea mbele tena.

Sasa hebu fikiria kama distance imeongezeka kwako, lakini wote jamaa wa kwenye rocket mmeshuhudia ukipanda na kushuka at the sametime, sasa huu mwanga umeweza je kuongeza distance kwako lakini kwa jamaa wa kwenye rocket haujaongeza distance lakini umesafiri kwa muda sawa.? Yaani labda kwako wewe mwanga uliongezeka speed? [emoji3].

Jibu ni hapana mwanga haukuongezek speed kwako maana speed ya mwanga ni constant haichange kwa mtu anayemuvu au aliyesimama. Kinatokea hapo ni kitu watoto wa malkia wanakiita "time dilation".

Kama ilivyo kwenye hii formula speed = distance/time (kama unavyoona kwenye gari 120km/h kwahiyo mtu akisafiri masaa mawili kwa speed hiyo atakuwa amesafiri distance ya km 240. 120km/h = 240km/2h. Sasa vipi jamaa akisafiri km 360km kwa masaa mawili? Jibu litakuwa jamaa alikuwa speed sana yule, maana ake aliongeza speed kutok 120km kwa lisaa na kufikia km 280 kwa lisaa ndo maana japokuwa distance iliongezeka lakini alitumia masaa yale yale mawili.

Sasa ili twende sawa tufanye assumption kwamba umbali wa morogoro kutoka Dar ni km 240 lakini Dar to Dodoma ni Km 360. Sasa assume unamwendesha Mh. Majalia and kakwambia speed isizidi wala kupungua ni 120km kwa lisaa (kwa kumanisha speed ni constant haibadiliki). Kwahiyo mtatumia masaa 2 kufika morogoro lakini mtachukua masaa 3 kufika Dodoma. Sasa hebu imagine kuna gari mbili zote zinaenda Dodoma lakini cha ajabu wewe tu ndo unaoona kuna kunakuongezeka kwa umbali kutoka Moro kwenda Dodoma lakini jamaa mwingine yeye anaona hakuna umbali ulioongezeka kwani anaona Dodoma ndo Morogoro (unashangaa?) Ulichokiona hapo juu ndo hicho ulichokishuhudia mwanga wewe unauona umeongezeka distance ya kusafiri lakini jamaa wa kwenye rocket haoni distance yoyote iliyoongezeka. Kwahiyo wewe ambaye umeona mwanga umeongezeka utatumia masaa matatu lakini jamaa ambaye hajaona distance imeongezeka atatumia masaa mawili. Sasa wewe wa masaa matatu utakuwa umezeka lisaa limoja kuliko jamaa aliyetumia masaa mawili.
Speed of light is constant ambayo ni 299,792 kilometers per second

Kwahiyo 299,792km/s = distance/time.

Sasa in case unaona distance imeongezeka and jamaa wa kwenye rocket haoni distance yoyote kuincrase and kumbuka speed of light ni constant regardless ya movement yake basi kinachobadilika hapo ni time tu ili kucompansate distance iliyoongezeka kwa mwanga uliouona wewe. Maana ake hapa mda wa jamaa aliye kwenye rocket unaslowdown ukilinganisha na mda wako wewe.

Moja ya matumizi ya hii concept ni kwenye issu ya GPS. bila hiyo theory hapo juu basi google maps, uber na taxify ingekuwa ndoto. Kwahiyo ukiwa unapanda uber ama taxify, jaribu kumshukuru Einstein hata kidogo [emoji3][emoji3]
So if you can travel more than the speed of light in space, time starts to go backward [emoji3][emoji3]
 
Kijana kasema wapi kama jua lazama kwenye matope.?
Muhammad alikuwa Zaidi ya mwana sayansi yeyote unayemjua alikuwa ni mwana sayansi ambae sio wa kupingwa kwa wenye akili.
kuna thread moja kule jamii intelligent wameelezea vzr io story ya mohhamed
 
Mku

Mkuu napenda xana nondo ulizotoa...ila nilikua naomba unielekeze kuhuxu ni vp mtu unaweza kuxafr xpeed ya light ?
You can't and You might.

Sababu moja kubwa ni jinsi Energy/Mass inavyobihave kwenye motion/acceleration.

Jinsi speed inavoongezeka, then Nguvu zaidi inahitajika., ni sawa na wewe unavyokimbia tu, kila ukiongeza speed ndo unatumia nguvu nyingi zaidi. Sasa kufikia speed ya light utahitaji nguvu nyingi sana kwa kiasi ambacho hakina idadi (infinite energy). Sasa there is no way unaweza ukapata energy hiyo, maana kila utakayo kuwa nayo itakuwa haitoshi.

Sasa wanasayansi kwenye lab ya CERN walijaribu kuspeed particle kwa kutumia mitambo fulani inaitwa particle accelerator. Particle ilifikia 99.99999% ya speed ya light lakini kila wakijaribu kuongeza energy kuisukuma particle ifikie 100% speed ya light hakuna kitu imeganda kwenye 99.99999% tu.

Sasa kuna njia moja ambayo inasemwa na theorist wa fizikia wengi. Hiyo inaitwa wrapping of spacetime (nimeongelea hapo juu. Mfano tuseme tuwe na uwezo wa kukunja ardhi ya dodoma na ya Dar es salaam tukatengeneza umbo kama la 'U' umbali then wa kutoka Dodoma utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa sana. Sasa hii uifanye hapo juu hewani(space) ukunje uwazi wa kati ya Dunia na Jua then safari ya kwenda Juani ichukue dakika 5 tu kwa rocket (Mwanga unatumia Dakika 8) hapo utakuwa umesafiri kwa speed zaidi ya mwanga . Sasa ukisafiri kwa speed zaidi ya mwanga mda wako unaanza kurudi nyuma and hauende mbele tena (kama nilivyoelezea hapo juu)

images.jpeg-1.jpeg

Sasa shida moja ya hii kitu inakuwa ngumu kumeza kwamba nikirudi nyuma kwenye muda nikaenda nikamuua mshua/father kabla hajanizaa sasa nani atanizaa.

Stephen Hawking aliamua kufanya party siku moja chuoni kwake pale Cambridge University kwa ajili kuhusu time travel,. Alikaa pekee yake kwenye ukumbi mpaka mda wa party ulipoisha kesho yake ndo akagawa kadi za mwaliko kwenye party yake kwamba karibuni kwenye party yangu niliyoifanya jana kuhusu mambo ya time travel [emoji3][emoji3] lengo lake kama kuna time travel basi hata kama ni miaka 200 mbele wangeona mwaliko then watravel into past kuhudhuria party. Kwahiyo kama hakuna aliyekuja basi there is no time travel.

But no one knows the future, what is science fiction today might be a science fact tomorrow, in fact this is what has always been, kupaa angani, kwenda mwezini where science fictions in the past but today are scientific fact.
 
View attachment 1079447

[emoji106]
 
Yaaan hapa nipo natake samarry asante xana mkuu bhado napitia hii kitu maaana ni xhidah
 
Wakuu hapa tunaongelea mtu Anaeweza kufika 2050 kabla ya yetu na kurudi Au vp ..? Maana kuna movie moja jamaa alikuwa anavlaim yeye ni Time traveller.. Au ni vipi..?
 
Ahahhsf daah maelezo mazuri sana.

Ila yanafikirisha sana.
You can't and You might.

Sababu moja kubwa ni jinsi Energy/Mass inavyobihave kwenye motion/acceleration.

Jinsi speed inavoongezeka, then Nguvu zaidi inahitajika., ni sawa na wewe unavyokimbia tu, kila ukiongeza speed ndo unatumia nguvu nyingi zaidi. Sasa kufikia speed ya light utahitaji nguvu nyingi sana kwa kiasi ambacho hakina idadi (infinite energy). Sasa there is no way unaweza ukapata energy hiyo, maana kila utakayo kuwa nayo itakuwa haitoshi.

Sasa wanasayansi kwenye lab ya CERN walijaribu kuspeed particle kwa kutumia mitambo fulani inaitwa particle accelerator. Particle ilifikia 99.99999% ya speed ya light lakini kila wakijaribu kuongeza energy kuisukuma particle ifikie 100% speed ya light hakuna kitu imeganda kwenye 99.99999% tu.

Sasa kuna njia moja ambayo inasemwa na theorist wa fizikia wengi. Hiyo inaitwa wrapping of spacetime (nimeongelea hapo juu. Mfano tuseme tuwe na uwezo wa kukunja ardhi ya dodoma na ya Dar es salaam tukatengeneza umbo kama la 'U' umbali then wa kutoka Dodoma utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa sana. Sasa hii uifanye hapo juu hewani(space) ukunje uwazi wa kati ya Dunia na Jua then safari ya kwenda Juani ichukue dakika 5 tu kwa rocket (Mwanga unatumia Dakika 8) hapo utakuwa umesafiri kwa speed zaidi ya mwanga . Sasa ukisafiri kwa speed zaidi ya mwanga mda wako unaanza kurudi nyuma and hauende mbele tena (kama nilivyoelezea hapo juu)

View attachment 1079447

Sasa shida moja ya hii kitu inakuwa ngumu kumeza kwamba nikirudi nyuma kwenye muda nikaenda nikamuua mshua/father kabla hajanizaa sasa nani atanizaa.

Stephen Hawking aliamua kufanya party siku moja chuoni kwake pale Cambridge University kwa ajili kuhusu time travel,. Alikaa pekee yake kwenye ukumbi mpaka mda wa party ulipoisha kesho yake ndo akagawa kadi za mwaliko kwenye party yake kwamba karibuni kwenye party yangu niliyoifanya jana kuhusu mambo ya time travel [emoji3][emoji3] lengo lake kama kuna time travel basi hata kama ni miaka 200 mbele wangeona mwaliko then watravel into past kuhudhuria party. Kwahiyo kama hakuna aliyekuja basi there is no time travel.

But no one knows the future, what is science fiction today might be a science fact tomorrow, in fact this is what has always been, kupaa angani, kwenda mwezini where science fictions in the past but today are scientific fact.
 
Except unaweza kuyafanya yawe mabichi tena kwa kufanya deduction ili kupata nearest possible results/outcome. In that case then, kama nikipewa task ya kupika maharage yaive kisha niyarudishe yawe mabichi, then nitatafuta the possible win/win solution ili kuaccoplish result, au nita compromise ikibidi ili ni accomplish the best nearest to the possible result. iyo inaitwa, Heisenberg Uncertainty Principle aka Schrödinger's cat Thought experiment, and to be precise Quantum entanglement.
I know about this. Sema binafsi yenyewe bado haijaniconvince kwenye upande wa backward time travel. Maybe in the future.
 
Back
Top Bottom