Einstein theories of relativity..Mambo magumu kuelezea

It is all figment of imaginations. They is no way you wind back or foward the universe. Kumbuka hata movies za terminator zilitengenezwa kwa imaginations of 2018. Nini kimetokea??
Steven Hawking na Eistein walipewa umaarufu wa bure kwa theories zao ambapo hata zinakinzana zenyewe. kwa mfano walisema dunia spins at 1093 miles pe how. and rotates the sun at a speed of 66,000miles per hr and the sun travels at 77,000miles per hr while the entire galaxy travel at 490,000miles per hr......if at all the theory of relativity is true dunia inayotravel at 66,000miles/hr inawezaje kulizunguka jua linalotravel at 77,000miles/hr??....THINK???
Na niambie hivi leo ni ipi kati ya theories zao zimetumika kuvumbua kitu chochote to elevate human kind? ...NONE. Theory zinazovumbua vitu leo ni za akina Newton, Alexander Bell na master of all Nicola Tesla aliyeacha theories na uvumbuzi wa kutisha ambapo mpaka leo US Air force na NASA wameclassfy maandishi yake wanayatumia wao wenyewe kubuni vitu vya kutisha -such as radio and micro waves, frequescies, radios, mobile phones etc... Hata hiyo time travel Nicola Tesla alijaribu akatambua kuwa huwezi kurewind universe forward or backward. Lakini Hollywood wanaitumia kubrainwash wanadamu kuwa inawezekana ilhali si kweli lengo lao ni kuuza video na kutajirika tu kwa sababu wanajua human believe lie than truth and the majority of population huwa hatuhoji.
Usiamini sana Hollywood, is a propaganda tool used to brainwash humans while them, the undertakers becomes very rich. level.
Hivi na wewe ulikaa ukatype aya zote hizi za takataka. Lol
Kama kitu hukielewi bora uulize.
We unahisi kama theories za Einstein zingekuwa fiction ungekuwa unatumia ki smartphone chako kumkashifu?
Unadhani alivosema time sio constant alikudanganya eee? Unajua kwamba satellite angani zinasaidia kuunganisha dunia kwa kutumia hii hii principle ya time kwenda backward na forward ku accelerate na ku decelerate?
 
Ungeelezea kidgo ni vp hiyo theory ya einstein ina tunamiwa na wanasayanxi mkuu
 
You can't and You might.

Sababu moja kubwa ni jinsi Energy/Mass inavyobihave kwenye motion/acceleration.

Jinsi speed inavoongezeka, then Nguvu zaidi inahitajika., ni sawa na wewe unavyokimbia tu, kila ukiongeza speed ndo unatumia nguvu nyingi zaidi. Sasa kufikia speed ya light utahitaji nguvu nyingi sana kwa kiasi ambacho hakina idadi (infinite energy). Sasa there is no way unaweza ukapata energy hiyo, maana kila utakayo kuwa nayo itakuwa haitoshi.

Sasa wanasayansi kwenye lab ya CERN walijaribu kuspeed particle kwa kutumia mitambo fulani inaitwa particle accelerator. Particle ilifikia 99.99999% ya speed ya light lakini kila wakijaribu kuongeza energy kuisukuma particle ifikie 100% speed ya light hakuna kitu imeganda kwenye 99.99999% tu.

Sasa kuna njia moja ambayo inasemwa na theorist wa fizikia wengi. Hiyo inaitwa wrapping of spacetime (nimeongelea hapo juu. Mfano tuseme tuwe na uwezo wa kukunja ardhi ya dodoma na ya Dar es salaam tukatengeneza umbo kama la 'U' umbali then wa kutoka Dodoma utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa sana. Sasa hii uifanye hapo juu hewani(space) ukunje uwazi wa kati ya Dunia na Jua then safari ya kwenda Juani ichukue dakika 5 tu kwa rocket (Mwanga unatumia Dakika 8) hapo utakuwa umesafiri kwa speed zaidi ya mwanga . Sasa ukisafiri kwa speed zaidi ya mwanga mda wako unaanza kurudi nyuma and hauende mbele tena (kama nilivyoelezea hapo juu)

View attachment 1079447

Sasa shida moja ya hii kitu inakuwa ngumu kumeza kwamba nikirudi nyuma kwenye muda nikaenda nikamuua mshua/father kabla hajanizaa sasa nani atanizaa.

Stephen Hawking aliamua kufanya party siku moja chuoni kwake pale Cambridge University kwa ajili kuhusu time travel,. Alikaa pekee yake kwenye ukumbi mpaka mda wa party ulipoisha kesho yake ndo akagawa kadi za mwaliko kwenye party yake kwamba karibuni kwenye party yangu niliyoifanya jana kuhusu mambo ya time travel [emoji3][emoji3] lengo lake kama kuna time travel basi hata kama ni miaka 200 mbele wangeona mwaliko then watravel into past kuhudhuria party. Kwahiyo kama hakuna aliyekuja basi there is no time travel.

But no one knows the future, what is science fiction today might be a science fact tomorrow, in fact this is what has always been, kupaa angani, kwenda mwezini where science fictions in the past but today are scientific fact.
Labda siku tukifanikiwa hapo ndio habari ya kifo itakuwa imeishia hapo, maana unaishi ukiona miyeyusho una rewind unaanza upya.[emoji16][emoji16][emoji16].

Sasa mkuu kwa mujibu wa theory moja ya mwanga ni kwamba hauna mass, ndio maana ni rahisi zaidi ya kumsukuma mlevi kuusafirisha kwa speed hiyo, hivyo ni kama haiwezekani kitu chenye mass kusafiri speed hiyo kikiweza kitaisha uzito kabisa, vipi kuhusu travell in future?? Theory yake ikoje???
 
Sisi variables tunakuwa wapi hayo yote yakitokea si tutayeyuka in the process?
Theoretically kama speed ni constant unaweza kuexist unakua upo kama kwenye treni au rocket ambayo haichezi wala kutikisika na inaenda speed kali ila ukiambiwa wewe uende na speed ya rocket hiyo basi huwezi kuexist.
 
Vitu gani hivi aisee
Kama kuna muvi inaelezea vitu hivi kirahisi nisaidieni

Cheki movie inaitwa Interstellar
 
Hivi na wewe ulikaa ukatype aya zote hizi za takataka. Lol
Kama kitu hukielewi bora uulize.
We unahisi kama theories za Einstein zingekuwa fiction ungekuwa unatumia ki smartphone chako kumkashifu?
Unadhani alivosema time sio constant alikudanganya eee? Unajua kwamba satellite angani zinasaidia kuunganisha dunia kwa kutumia hii hii principle ya time kwenda backward na forward ku accelerate na ku decelerate?
Well said.
 
Ungeelezea kidgo ni vp hiyo theory ya einstein ina tunamiwa na wanasayanxi mkuu
Global Positioning System (GPS) ni mtandao/network inayohusisha satellites kama 30 hivi zinazunguka dunia katika umbali was km 20,000 kutoka duniani. GPS iliendelezwa na serikali ya marekani kwa matumizi ya Jeshi kwenye maswala ya navigation/uongozaji wa vyombo katika Jeshi, lakini kwa Sasa GPS inatumika katika electronics gadgets mbalimbali ikiwemo simu za mkononi, GPS unit device, na vingime vingi kwa kutrack location au cordiante ya sehemu fulani kwa kupokea mawimbi ya radio kutoka satellite broadcast. Ukiwa popote duniani Zaid ya satellites nne ziko juu yako muda wowote na ontime. Kila satellites katiya hizo zina scan na ku transmitt information za eneo husika kwa mfumo wa position na current time interval ya eneo hilo. Signals zinazotoka katika satellites hizo zinaenda na speed ya mwanga na zinakua received na GPS receiver yoyote iwe simu au electronics device au GPS unit yenyewe ambayo hiyo GPS receiver ita compute ni umbali gani hiyo message imetembea kutoka Satellite mpakaa kwenye receiver na imetumia muda gani mpaka kufika hapa....!!!

Ikisha pata majibu ya umbali gani hiyo info iliyokua received imetembea kutoka satellite hizo tatu zinazo kuzunguka basi hiyo GPS receiver inaweza kupata location ya eneo kwa kutumia njia ya trilateration.

Trilateration ni kama tufe tatu zimeungana upande upande kupata point ambayo inaunganisha tufe hizo tatu nikama triple set ciricles za kwenye mahesabu katika topic ya Set theory.

GPS receiver inapokea umbali wa signal (wa kitu au eneo ki/moja) kutoka satellite A, B, na C kwa kutumia pinpoint ya trilateration basi inapata accurate location ya eneo au object kwa kusaidiwa na satellites hizo tatu..

Jinsi satellites zinavokua nyingi sehemu moja ndivyo accurate location inakua kubwa

Upande wa GPS kutuma muda ambao Sambamba na tukio iliyotumwa ndo panashida

Mfano:
Duniani: Rais anahutubia mbeya, Sokoine sasahivi 11:00 AM

Onboard satellite:
Satellite Moja itaripoti
Rais yuko umbali X kutoka ground satellite receiver base Y sasahivi10:30

Location accuracy inaweza kua fixed kwa kuongeza uwingi wa satellites eneo husika

dilation ya muda ni kwasababu signal imetoka on board satellites ambazo General relativity na special relativity vina direct effect katika reported time. Kwa maana hiyo time ya satellites reported ni uwongo kwahiyo hapo ndo Einstein relativity inatumika kufix either ku forward some interval seconds au ku decrement seconds ili kureport muda sahihi .

SAA ya duniani na saa ya onboard satellites hazitick Sawa sababu ya General relativity. Running clock ticks slower than stationary clock due to Gravity that's where Einstein relativity plays a role[self explanatory].

Kwanjia hiyo sasa satellites zingekuwepo lakini tusingekua tunajua muda sahihi wa matukio yanayokua reported na satellites

Matumizi ya Einstein relativity nazani umeyaona
-GPS
-exploration of massive objects katika universe and their events
-research katika anga za juu
-etc

Wako wakita ujenzi wa taifa,
Engineer.
 
Asante xana mkuu
 
Duuh kama engineer mna kaz hv yote hayo yanakaa kichwani ........ Alafu hzo setellite zinazunguk vp dunia yaan zipo like ndege au ?
 
Engineer hv hii kanuni ya E=mc² ina maana gani ?
 
Duuh kama engineer mna kaz hv yote hayo yanakaa kichwani ........ Alafu hzo setellite zinazunguk vp dunia yaan zipo like ndege au ?
Mkuu in simple explanation..

Kuna Aina mbili za satellites [depending on altitudes and nature of orbits not uses], i like describing them in that way

1. Polar satellites
2. Geosynchronous satellites

1. Polar satellites hizi ni satellites zinazo zunguka dunia katika orbits zenye kimo/radius tofauti kutoka usawa wa dunia na speed tofauti na dunia..in short.
Zinatumika ku capture earth images, military operations and spying, telecoms etc

2. Geosynchronous satellites
Hizi ni satellites ambazo ziko angani umbali wa km 36,000 hazitembei ziko fixed zinazunguka Sawa na dunia kwa muda wa masaa 23 na dakk 56 na sekunde 4.09 almost 24hrs. Namaanisha kama satellites iko angani inapoint mbezi basi dunia ikizunguka nayo inazunguka kwa speed ileile ikiwa inapoint mbezi hapohapo.

Satellites zinapelekwa angani kwenye orbits zao na rockets/spacecrafts. Rockets inaweza kubeba satellite Zaid ya moja.

Ukirusha jiwe angani linadindoka tena chini kwasababu gravity na dunia 9.81N/kg ni kubwa na speed ya jiwe lako haiwezi kuruhusu jiwe lisirudi

Njia nzuri ya kufanya jiwe lisirudi ni kulirusha na escape velocity ili kuondoa kani ya uvutano/gravity force.

Mass ya kitu ndo inasababisha gravity [according to Newtonian physics not Relativity ]

Escape velocity v=√(2GM/r) ambayo ukifanya inaleta 7miles per second au 25,000 miles per hour[mph] hii speed inafanya rocket iondoke katika gravity duniani na isirudi na kufika kuiweka satellites angani kwene orbit.

G= Newton universal gravitational constant
M = mass ya sayari
r= umbali wa satellite iliyoko kwene orbit kutoka usawa wa dunia. Kutoka kitovu cha dunia unajumlisha na radius ya dunia R= 6370km. So r=h+R

Baathi ya geosynchronous satellites ni geostationary orbit ambazo ziko parked juu ya equator hizi zimejichagulia stationary latitude, equator.
Mfano:
zinatumika katika satellites TV broadcast..ukitaka kuset TV dish antenna aliyeko kusini anaset kuelekea kaskaz inclined na aliyeko kaskaz anaset dish kuelekea kus na aliyeko equator either vertical, east or west depending unataka kupata channel Kias gani always kuzifase geostationary satellites considering Azimuthal na tilt angles za dish antenna.

Hope umepata kitu mkuuu karibu sana.
 
Dah asante engineer maana ile xub topic ya mechanicx (gravitation) nimekuta nilikua nakalili mambo tyu....salute engineer (IT)
 
Engineer hii equation ya Albert Einstein E=mc² ina maana gani.....
Hiyo eqn inamaana nyingi lakini moja ya most popular meaning kua mass-energy equivalence yaani mass na energy are interchangeable/interconvertible yaani mass inaweza kua energy na energy inaweza kubadilika kua mass.

Katika special theory of relativity hii eqn inamaanisha kwamba kitu chenye mass kikiwa katika speed ya light mass take inaongezeka ambapo hapo gravity itakislow down speed yake..kwahiyo kukeep speed constant yahicho kitu inabidi utumie energy E ambayo Italia Sawa na mass ya kitu hicho kuzidisha na namba mramba ya speed ya mwanga i.e E=mc^2

Ukiona hapo kama hicho kituchako kina mass 1 ili kitembee na speed ya mwanga unahitaji energy ya E=1*(3*10^8)^2 =9*10^18joules mkuu hii energy ndo itafanya hicho kitu cha 1kg kitembee speed ya mwanga constant.

Hiyo energy ni kubwa Sana yaani kwa bulb ya watt 100 itatumika hiyo energy kwa miaka Zaid ya milion 28 na laki 5.

Katika kuzalisha umeme wa Nuclear wanaitumia hiyo equation. yaani mass ndogo Sana lakini energy inayotoka nikubwa Sana kiasi kwamba bwawa la stigler gorge haliwezi kuzalisha.

Mfano 1
mass ya 3.14kg za uranium zinazalisha 3,000 megawatts za umeme wakati umeme wa petrol au diesel au makaa ya mawe yatatumia tani 10,000 kuzalisha kiasi hicho cha 3,000megawatts

Kwahiyo equation ya Einstein inaonesha ni jinsi gani mass ndogo inatoa energy kubwa..lakini practically kuachieve 1kg ya uranium ni kazi Sana kiasi kwamba change ya mass protons na neutrons ni ndogo kwenye nuclear reactions

Mfano 2:
Lita 3.78 sawa na uzito wa 3kg za gasoline/mafuta ya gari yanatoa kiasi cha nishati milioni 132 za joules ukibadili hii nishati kua mass kwa kutumia E=MC^2 unapata mass ya 14nanogram. Hii mass ni ndogo Sana ambapo huwezi kujua kama ndo imepungua kutoka 3kg
3kg=3000g

3000g-14ng ni Sawa na inabaki 3kg ileile mass iliyochange ni ndogo lakini energy ni kubwa.

Kwahiyo utaona ukiconvert 3kg directly kwenda nishati unaweza kupata nishati ambayo inaweza kutatua tatizo la nishati duniani...3kg inatoa energy Sawa na 21megaton za bomu la TNT, nuclear bombs wakati Hiroshima na Nagasaki 13kiloton ndo ilitumika nearly 1.5kg ya uranium Tu.

Mfano 3:
Ukiyapasha maji ya 3kg kwa joto la centigrade 10 hayo maji yata absorb some heat energy na mass ya maji yataongezeka labda kua 3.0000000000000000014kg very small increase in mass. Hakuna scale duniani ya kupima hiyo mass iliyoongezeka. Ukitaka kujua nikiasi gani cha nishati kilicho convert mass hiyo ndogo tumia hiyo equation E=mc^2. Similarly na ukicool object hiyo kwa 10centigrade energy will change the same rate.

technology iko limited mana convertion ya 3kg to energy directly ni kazi yaani ku accelerate 3kg katika speed ya mwanga utaitaji infinite energy mkuu. Katika CERN particle accelerator ni possible ku accelerate particles kwa relativistic speed na kuachieve atomic energy desired sababu particle zenyewe wakina protons, positrons, neutrons, electrons mass zao zinakaribia zero.

Mkuu tukajenge taifa Kwanza.
 
Thank you engineer...
 
Back
Top Bottom