Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,965
Dada unazingua sasa, wapi bikini?Wasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoniš„°, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 𤣠Kutoka familia ya Advocate Gwajima..
View attachment 3290043
Dah mama Mungu akupe baraka tele very rare to have leaders like you !Hujambo? Ishu gani tena? Njoo sms 0765345777 unipe kwa ufupi maana sijakumbuka tafadhali
Kawe Beach..Nilihisi tu niwewe Mheshimiwa nilitaka nijisogeze nikupige Kibomu..kumbe ningebebwa mzobe mzobe š¤£ššWasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoniš„°, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 𤣠Kutoka familia ya Advocate Gwajima..
View attachment 3290043
Wasaalam rafiki yetu....

Angel wewe ni mchoyo sana
Swali gani hiliKwahiyo mpo beach na baba? š
Pole sn. Tatizo wadau wengi. Sijui nimwalike nani nimwache naniAngel wewe ni mchoyo sana
Waache wote lakini nialike mimi mchungajiPole sn. Tatizo wadau wengi. Sijui nimwalike nani nimwache nani