Eid Mubarak wana chit chat woote!

Eid mubarak nawe, tena leo Mwenyezi Mungu kaamua kutuonesha kuwa wote twamwabudu yeye, mana waislam, wakristo wote wamesali leo.
 

Toa Asprin yeye ni mtoto wa padre.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer nahisi nimechelewa pilau... kuna akiba imebaki kweli?
 
Last edited by a moderator:
sita shwari ndio nini Ummu? kwani hairuhusiwi kula sana?

baada ya ramadhani kuna kufunga tena, yaan unafunga siku sita baada ya siku ya iddi mosi ikipita iddi pili unafunga mpaka siku sita zipite,unashauriwa kula kwa kiasi kwa kuwa unaweza ukavimbiwa,tumbo kuuma na nk na sababu zikakufanya usifunge.sita ni sunna kwa hiyo sio lazima kufunga kwani ukifunga unapata thawabu usipofunga hupati dhambi.
 
Hahahaaaa kwanza nimegundua PakaJimmy ananizunguka kwa Preta lol
Ngoja nifanye mpango wa kuswitch kwa kitu kipya....!
Msalimie sana kichanga wetu aisee...najua una raha sana hapo ulipo!

Asante sana Erickb52
Sikukuu imeisha tuanze kuchapa kazi sasa aise Yummy nasikia alionekana pande za mbauda akila ugali na mlenda sikukuu yote hii cacico nae akaonekana pande za kisongo akibugia mbege gfsonwin huyu nasikia alikuw apande za unga lelo akikaanga samaki BADILI TABIA nasikia yeye ilikuwa super kwake maana akilikuwa pande za Kibo Palace Hotel akikata mvinyo na pedeshee sijui ni Bishanga au Asprin
 
Last edited by a moderator:
unakichanga halafu mimi shangazi sijui lol! sasa wafikiri nywele atamyoa nani jamani?
 
thanx my shemeji Kaizer! lolest! nilikuaje mtoto mwema sasa??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…