sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Lol...Eid mubarak kamanda , niko kwenye disko vumbi hapa namrudi kandabongomani , mzembe nimekula pensi tu na ngende ya kombat. Hapa wake za watu wanajitambulisha wajane, halakisha kamanda
Lol...Eid mubarak kamanda , niko kwenye disko vumbi hapa namrudi kandabongomani , mzembe nimekula pensi tu na ngende ya kombat. Hapa wake za watu wanajitambulisha wajane, halakisha kamanda
Ndio nini hujibu PM?Klorokwin mzamiaji namba moja wa sherehe za watu anasubiria hapo chini kuzamia kwenye hii thread....kamata mwizi meennnnn
Aamiin.Takabal Allahu minna waminkum.
Kaka bana, sitaki kuamini kuwa umeanza kuzeeka!..lol.Asee Eid Pili ipi au niaje wajameni! Happy Eid..!
Kaka bana, sitaki kuamini kuwa umeanza kuzeeka!..lol.
Lol...wifi mimi nna hakika nilikumiss zaidi,...maelezo ntayakupa subiri kwanza machozi ya jela yakauke asee!.... Nafurahi upo good wifi yangu kipenzi....Wifi nilikumiss ujue?? Haya toa maelezo y the ban?? lol
Ooh very thanx my dear shemeji uporoto, eid ilikuwa nzuri sana wewe mwenyewe shahidi. Tulikula na kusaza. Hongera sana shemu manake kama ni mke umepata, ( mahari haijaenda bure ) hivi husni amewahi kusomea mambo ya mapishi?
Lol...wifi mimi nna hakika nilikumiss zaidi,...maelezo ntayakupa subiri kwanza machozi ya jela yakauke asee!.... Nafurahi upo good wifi yangu kipenzi....
Pamoja sana. Source: AshaDii.
Aisee wewe! Ndio nini lakini jamani? Nimekumisije my love! Kidogo nijinyweshe sumu ati!hlf wewe...
Aisee wewe! Ndio nini lakini jamani? Nimekumisije my love! Kidogo nijinyweshe sumu ati!
Ahsante sana wifi angu....yaan kakako upendo wake unaanzia jf na kuishia jf lol, we fikiria hajanitembelea gerezani mbaya zaidi ameshindwa hata kuniwekea dhamana Paw anifunge kifungo cha nje!!!.. Wifi mie navumilia vile i love you, vinginevyo ningeshaomba talaka, nashindwa kwa sababu ya hilo li upendo ulilo nalo kwangu....daaah nisikuchoshe wifi, zaidi sana 'ubarikiwe' wifi yangu mpendwa!Oh' pole saana my Sweet wifi... You need anything?? wapi panauma unionesha nitenge maji kwa ajii ya kukukanda maana najua kaka sector hizo mbovu....lol
Ahsante sana wifi angu....yaan kakako upendo wake unaanzia jf na kuishia jf lol, we fikiria hajanitembelea gerezani mbaya zaidi ameshindwa hata kuniwekea dhamana Paw anifunge kifungo cha nje!!!.. Wifi mie navumilia vile i love you, vinginevyo ningeshaomba talaka, nashindwa kwa sababu ya hilo li upendo ulilo nalo kwangu....daaah nisikuchoshe wifi, zaidi sana 'ubarikiwe' wifi yangu mpendwa!
Hahaha! Swahiba kwa mkwara sikuwezi, khaaa ndio nini kumtisha mwenzio wakati katokea gerezani leo?? Takupipia usijali, usiku sithubutu, nampenda sana my shemeji uporoto hivyo siwezi kuingilia ratiba yake ya usiku....una bonge moja la case. Nipigie kwa muda wako. Ila usiku sipokei simu. Lol!
Hahaha! Swahiba kwa mkwara sikuwezi, khaaa ndio nini kumtisha mwenzio wakati katokea gerezani leo?? Takupipia usijali, usiku sithubutu, nampenda sana my shemeji uporoto hivyo siwezi kuingilia ratiba yake ya usiku....
Hahahaha! Nakupenda wifi angu mpaka upendo unamwagika pembeni.... Ushauri wako naufanyia kazi afu wili let you know!.. Usione nimeshindwa kuchangia uzi wako wa leo! Sijielewi wifi and bado natafakari ntaleta mchango wangu!Sweet words from sweet wifi... Wifi wanaume ni wengi sio uvumilie kwa ajii yangu, kama wahisi hakupendi chapa lapa but you will always be my sweet wifi...
Hujambo ? yaani we acha tu mi hula vizuri wakija wageni tukiwa wawili ni mayai kwa kwenda forward lol!Ooh very thanx my dear shemeji uporoto, eid ilikuwa nzuri sana wewe mwenyewe shahidi. Tulikula na kusaza. Hongera sana shemu manake kama ni mke umepata, ( mahari haijaenda bure ) hivi husni amewahi kusomea mambo ya mapishi?
Hahahaha! Nakupenda wifi angu mpaka upendo unamwagika pembeni.... Ushauri wako naufanyia kazi afu wili let you know!.. Usione nimeshindwa kuchangia uzi wako wa leo! Sijielewi wifi and bado natafakari ntaleta mchango wangu!
Wacha tu dear, jukwaa la siasa liliniponza, si unajua najiandaa kugombea uenyekiti wa kitongoji?? Kutetea kiti kukantokea puani kwani Paw alinchekea sasa?.. Your shemeji mie pia sijui alipo. Nimerudi nyumbani hayupo na mpaka hivi hajarudi, simu yake ndio kabisaaaa kila nikipiga namba busy!... Nyumba ndogo hiyo ishapatikana!hivi ulikuwa kifungoni? Ulifanyaje? Naona na shemeji vin petrol haonekani. Lol