Eid mubarak kwa marafiki zangu wa MMU.

You have melted all my anxiousness....lol...
(bana mbona niliweka vielelezo kwenye mabano)
Ni vile tu niliona nipo mbali saana na wandani wangu....lol
Kati ya watu wa JF naotaka kuwaona uko kwenye top 5,you are prolific girl and i can just imagine the way your house is spotless and organised and a to do list on the fridge door and even ratiba ya siku/muda wa sarakasi zileee lol!

Asante sana rafiki..............hope you had great day.Nakutakia siku njema.Stay blessed.
Thanks smily hope you smile like that always.

wee uporoto,hivi ni kweli we na TF mnavurumishana kumdaka Husninyo utadhani mpira wa kona? Mshindwe na mlegee!
Mubarak wa Eid.
Hizi taarifa ulizonazo sio sahihi hatuwezi 'kuvurumishana' na TF au mtu yoyote huku tayari binti kajaa tele ndani kwangu,nikilegea si Husninyo atanikimbia wajameni.

Yaani Sweetheart tumekuwa wote the whole day ila hata hujanambia kama umetuma salamu huku! Lol.
Ahsante kwa outing ya jana.
Hii si sapraisi beb,halafu si umeona jina lako ni la kwanza ?
 
Kati ya watu wa JF naotaka kuwaona uko kwenye top 5,you are prolific girl and i can just imagine the way your house is spotless and organised and a to do list on the feridge door and even ratiba ya siku/muda wa sarakasi zileee lol!

hahahaha.... If only you knew half of the story of my life.... Enways THANKS for the acknowledgement... and take note I love sarakasi, it is the only thing not dependent on ratiba....lol
 
Eid mubarak kamanda , niko kwenye disko vumbi hapa namrudi kandabongomani , mzembe nimekula pensi tu na ngende ya kombat. Hapa wake za watu wanajitambulisha wajane, halakisha kamanda
 
I want to know what makes Asha tick so what about telling me all over a few cups of coffee ? am a good listerner.

darling utaniua kwa masapraisi. Lol!
Halafu nina kesi na bishanga. Naona kama anataka kuvuruga kitu hapa.
Nimeshamjibu sweety,kelele za mlango hazimzui mwenye nyumba kulala lol!
 
I want to know what makes Asha tick so what about telling me all over a few cups of coffee ? am a good listerner.
!

And me a chatter BOX! Perfect for a perfect conservation.....lol... A lot Uporoto... am such a dynamic person..... Hivo it is not that hard...
 
Eid mubarak kamanda , niko kwenye disko vumbi hapa namrudi kandabongomani , mzembe nimekula pensi tu na ngende ya kombat. Hapa wake za watu wanajitambulisha wajane, halakisha kamanda
Hebu rudi nyumbani ukaoge na kubadili nguo,Uwanja wa Fisi sio dili njoo hapa Makanya Bar -sweetcorner ya Sinza niko VIP na zile totoz za kampuni ya simu(Hus hii haikuhusu funga macho) wahi bana na vyumba nimeshalipia buku kumi kumi na wanaonyesha mkanda wa sarakasi.
 
heeee! Hainihusu kweli na macho nimefumba. Lol!
Usichelewe kurudi lakini.
 
Kamanda niko kwa mfuga mbwa hapa, tumezungusha gunia tu halaf ndani kuna DJ ananuka kikwapa mbaya sana lakini hauwez kuamini wanamwita Ja Rule, huko makanya bar matawi ya juu michosho bana, hapa mzembe nimekuja na buku saba tu lakini wajamaa wananiita marehemu steve job kwa utajiri. Nipo haf time tu muda si mrefu naludi dance floor tena.
 
Duh! kweli chako ni chako tu umefika saa ngapi ?

Kamanda kila kitu juu yangu eti mabosi wawili wamesafiri mimi nakaimu ubosi hahaha! unaweza kuamini eti mimi Uporoto watu wote 18 walobaki nikisema kitu hata kama hakichekeshi wanacheka wote,afadhali hao mabosi wasirudi bana totoz wakiingia tu eti shikamoo bosi na walikuwa hawana taimu na mimi, sijui niwabanjue wote kabla kukaimu hakujaisha lol! Wahi basi au nimwite TF ?
 
mmmmmmh! Maumivu ya kichwa huanza pole poleeee.
 
Duh! kweli chako ni chako tu umefika saa ngapi ?

Kamanda kila kitu juu yangu eti mabosi wawili wamesafiri mimi nakaimu ubosi hahaha! unaweza kuamini eti mimi Uporoto watu wote 18 walobaki nikisema kitu hata kama hakichekeshi wanacheka wote,afadhali hao mabosi wasirudi bana totoz wakiingia tu eti shikamoo bosi na walikuwa hawana taimu na mimi, sijui niwabanjue wote kabla kukaimu hakujaisha lol! Wahi basi au nimwite TF ?
Huyo red ataharibu kamanda, si unakumbuka last time ule mualiko wa buffet kempisky TF akaiba boksi ya toothpick? acha nikabling bling nitie timu zana zipo au nipitie pharamacy?
 
uzuri wa gesti za Sinza na huku uswaz kote kwenye draw utakuta zana za kutosha na zikiisha wamasai(walinzi) wanazo mia 5 tu.
 
Ooh very thanx my dear shemeji uporoto, eid ilikuwa nzuri sana wewe mwenyewe shahidi. Tulikula na kusaza. Hongera sana shemu manake kama ni mke umepata, ( mahari haijaenda bure ) hivi husni amewahi kusomea mambo ya mapishi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom