Eid mubarak kwa marafiki zangu wa MMU.

Hahaha! Swahiba kwa mkwara sikuwezi, khaaa ndio nini kumtisha mwenzio wakati katokea gerezani leo?? Takupipia usijali, usiku sithubutu, nampenda sana my shemeji uporoto hivyo siwezi kuingilia ratiba yake ya usiku....
shem bana hayo mambo ya usiku sijui chumbani ya kizamani sisi mda wowote na eneo lolote sarakasi kwa sana tu lol!
 
Hujambo ? yaani we acha tu mi hula vizuri wakija wageni tukiwa wawili ni mayai kwa kwenda forward lol!
Shemu mie bukheri and am happy kama uwepo wangu ulikufanya ukala vizuri...lol, utanifanya niwe nakuja kila jumapili huko kwenu!
 
Wacha tu dear, jukwaa la siasa liliniponza, si unajua najiandaa kugombea uenyekiti wa kitongoji?? Kutetea kiti kukantokea puani kwani Paw alinchekea sasa?.. Your shemeji mie pia sijui alipo. Nimerudi nyumbani hayupo na mpaka hivi hajarudi, simu yake ndio kabisaaaa kila nikipiga namba busy!... Nyumba ndogo hiyo ishapatikana!

hahahaha! Nilijua lazima litakuwa jukwaa lile. Mi huwa namwambia husb wangu uporoto anihadithie kinachoendelea kule.
Nyumba ndogo haikubaliki, abiria chunga zigo lako. Lol
 
Wifi today is for you... and you only achana na mimi, pale hata kesho waweza report.... usiwe na wasi kabisa dear.... Mie ngoja nikuache na Husny maana nahisi ukiniona mimi wamuona kaka....lol... Ngoja tu nikupe whisky ya Sweetie walau iku relaxishe koo na mutima.... Be happy my sweet wifi.
Mwaaaaaah! Sante sana kwa kinywaji wifi!..
 
hahahaha! Nilijua lazima litakuwa jukwaa lile. Mi huwa namwambia husb wangu uporoto anihadithie kinachoendelea kule.
Nyumba ndogo haikubaliki, abiria chunga zigo lako. Lol
Hahaha! Sa ivi nitakuwa siendi tena, tasubiri shemu uporoto akuhadithie afu na wewe unihadithie mimi... Hicho kiti cha kitongoji acha kipotee tu asee!


Nailia taiming hiyo nyumba ndogo nikiijua nakuja kuwakusanya wewe na mamkwe wako King'asti mkansaidie kupigana! Gaijin na bht watakuwa upande wa mashairi ya kusutia.
 
Nailia taiming hiyo nyumba ndogo nikiijua nakuja kuwakusanya wewe na mamkwe wako King'asti mkansaidie kupigana! Gaijin na bht watakuwa upande wa mashairi ya kusutia.

hahahahahaha! Nimecheka kwa loud speaker. Ma mkwe hapo anacover nafasi ya watu kumi kwenye sector ya kusuta. Lol.
 
hahahahahaha! Nimecheka kwa loud speaker. Ma mkwe hapo anacover nafasi ya watu kumi kwenye sector ya kusuta. Lol.
Lol...ndio mana nikamchagua coz namwaminia, kuna mahali kanisutia watu humu mpaka nikafurahi....mbaya zaidi kawasuta majibaba ya mujini yanayomendea mahausi Girl!..nimecheka balaa!
 
Nawatakia wadau wa MMU Eid njema,afya nzuri na furaha tele,kwa kipindi cha zaidi ya miaka 2 wa kuwa member hapa JF nimetokea kulipenda jukwaa hili na kufahamiana na wengi(thru keyboard),kuna wengine tunatumiana PM na wengine tumewasiliana kwa simu,sms na e-mail pia.. Siku hii naomba msamaha kwa yeyote niliyewahi kumuudhi kwa njia yoyote ile mimi ni binadamu nina mapungufu yangu.
Naomba kuwataja wachache ambao wamekuwa kama ndugu kupitia keyboard zetu,Husninyo,,Mbu,Mwanajamii,Nyamayao, Preta,Aspirin, Pakajimmy,Lizzy, klorokwini,Blackberry,Gaijin,Darkcity,Boss,Vivian,Keren,Katavi,Dena,Afrodenzi,Finest,Daughter,Aminata,Nemo,Nyani N, Russianrullete.Bebii,Voice of reason,Masanilo,Ivuga,Chatu,Ashadii,Bujibuji,Firstlady,Maria roza,Mamdenyi,King'asti,Sweetlady,Pauline,Michelle,Kiiza,Ruta,Bishanga,Kimbweka,Funza, Cheusimangala,Kaizer,Tusker,Fidel,Steve,bila kumsahau Invisible.Samahani kama jina lako limesahaulika nyie wote ni muhimu kwangu nawapenda kwa dhati.

Nawatakia sikukuu na weekend njema yenye amani na utulivu.

Nimemkumbuka tu leo huyu mtu maana nami nilipotea kwa muda kidogo.........................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom